Power Mabula | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Power Mabula

Discussion in 'Entertainment' started by bornagain, Jul 19, 2012.

 1. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Jamani naomba kujuzwa, wakati nakua kulikuwa na simulizi za mtu aliekuwa anajulikana kama Power Mabula ambae alikuwa anasifika kwa kufanya mazingaombwe mfano walisema eti alikuwa na uwezo wa kulala barabarani gari ikamkanyaga lakini akatoka ni mzima na pia alikuwa na uwezo wa kunywa ndoo nzima ya maji na stori nyingine za namna hiyo. Hivi ni kweli huyu mtu alikuwa anaishi Tanzania yetu hii au zilikuwa ni stori tu na kama alikuwepo kuna mtu aliwahi kumuona live na akashuhudia matukio yake.
   
 2. M

  Mshind Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo jamaa alikuwepo kweli, mimi nilimshuhudia maranying, alikua nauwezo wakuvuta gari yoyote kwa meno, watu walikua wanaweza kutwanga mahind makavu yakiwa kwenye kinu juu ya kifua chake mpaka yaka koboka, aliweza kuzuia gali mbili na pikipiki mbili visiondoke kwa wakati mmoja, hakika alifanya mambo mengi makubwa sana yakushangaza, ilikua burudanikubwa kwa watazamaji wa malika yote.
   
 3. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Dah kweli mwana we wa juzi, alikuwepo bana, sisi wa miaka hiyo tumemuona actualy mambo ya upawa ndio ilikuwa fashion miaka hiyo
   
 4. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  umenikumbusha mbali sana mkuu! huyu bwana alikuwa mkali sana mambo ya u-power...sijui kapotelea wapi!
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  yap Power Mabula kipindi hicho akija shuleni kiingilio shilingi hamsini..
  unatetemeka kweli kabla hata hajaanza kuonyesha mazingaubwe yake...
  That guy was genius .. I'm not too sure if he's still alive tho....
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Where the hell is Power Mabula now?
   
 7. Hayajamani

  Hayajamani JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 883
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kababayeye na Mwanakuliya nao wako wapi?
   
 8. Masakata

  Masakata JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Wadau mmenikumbusha mbali kweli,.ni kweli huyu mtu alikuwepo na alifanya hii miujiza yake kama kuzuia gari na kutwanga kinu,Power huyu Mabula ambaye alikuwa mwanajeshi,alikuwa jirani yetu,maeneo ya Kijitonyama,mtaa wa bakery,au mtaa wa Mzee Juba,kwa wale wenyeji watakuwa wanaufahamu..
  Mwaka jana 2011,June nilibahatika kumwona wilayani Kilindi,eneo la Songe,sasa hivi ni Mchungaji anatangaza injili na ana kanisa lake..
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,335
  Likes Received: 22,187
  Trophy Points: 280
  Yupo Tanga, ameokoka, anapiga Injili
   
 10. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Power Iranda bila ya kumsahau Power Mwanakulya JITU LISHIBALO!
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  kababaye sijui ameishia wapi......watoto wa siku hivi hawafaidi kabisa......
   
 12. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,192
  Trophy Points: 280
  Hahaha, enzi zile akija mwanamazingaombwe shule, kuna mshashi mmoja alikuwa akiingia na ndimu.

  Mfanya mazingaombwe akianza kufanya ma abracadabra yake basi mchizi anaminya ndimu, mazingaombwe yanashindwa.

  Siku moja akashtukiwa, akatolewa.

  Lakini most probably ilikuwa part ya show tu, kutuchota. I can't see ndimu inawezaje kuzuia chochote. Na zaidi ya yote mazingaombwe yenyewe yalikuwa illusions tu.
   
 13. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  injili imemkomboa na hueleza siri za aliyokuwa akiyafanya kwenye shuhuda zake!
   
 14. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #14
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  kuna mwingine anaitwa masiamote sijui naye yupo wapi cku hizi
   
 15. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #15
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  afrodenzi, kumbe umekula chumvi eh..........................!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  aisee, power mabula alikuwa maarufu sana hasa Mwanza

  kulikuwa na vimbwanga lakini, mara power mara mazingaombwe mara mieleka mara 'monde' wa indemoniiiiiiii

  NOTE: indemoni ni vile vikatuni vilivyokuwa vinachezeshwa
   
 17. Kamanda Moshi

  Kamanda Moshi JF-Expert Member

  #17
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,419
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Na kababa ninyanyue nyanyu....nyanyua na kababa naumia nau....umia...
  Du wakongwe mmenikumbusha mbali sana back to 1990-1989-1991 huko!
  Kitu power Bula..power Bula...jamaa walikuwa wanalamba sana shilingi thelathini zetu!its nice memory though!
   
 18. Mr. Mwalu

  Mr. Mwalu JF-Expert Member

  #18
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Nilisikia kwamba jamaa kachoka kiac hata akitema mate kufika chin tabu!
   
 19. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #19
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  Power Mabula nilikutana naye Arusha wakati wa Cadet training,yeye pia alikuwa cadet. Alikuwa hafanyi mazingaombwe,alikuwa strongman,anashikilia gari mbili,kushoto na kulia zisiondoke,mambo yote haya anafanya katika stadium iliyojaa watu,na kufanya mambo kama hayo. Lakini aliniambia ameumia katika practice[kwa ajili msadizi wake hakufuata directions vizuri],na labda hatafanya shows tena,I don't know what happenned afterwards,alikwenda vitani,vita ya Kagera.
  Haikuwa mazingaombwe. A few weeks ago nilimwona mwanake katika ITV anaizuia pikipiki kwa meno yake, kwa MENO. Kwa hiyo haya mambo ya power siyo mambo ya ajabu sana.
   
 20. K

  KI2CO Member

  #20
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bora kama kamtambua mungu kama kimbilio pekee. Jamaa alikula shs 5 zetu miaka ya 85
   
Loading...