Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,323
- 18,793
Kababayeye na Mwanakuliya nao wako wapi?
kababaye sijui ameishia wapi......watoto wa siku hivi hawafaidi kabisa......
Kababayeye na Mwanakuliya nao wako wapi?
afrodenzi, kumbe umekula chumvi eh..........................!yap Power Mabula kipindi hicho akija shuleni kiingilio shilingi hamsini..
unatetemeka kweli kabla hata hajaanza kuonyesha mazingaubwe yake...
That guy was genius .. I'm not too sure if he's still alive tho....
Kababayeye na Mwanakuliya nao wako wapi?
bora kama kamtambua mungu kama kimbilio pekee. Jamaa alikula shs 5 zetu miaka ya 85yupo tanga, ameokoka, anapiga injili
Yaani sina cha kuongeza bali wimbo tulioimba wakati ule nao ni "POWER!!!!!!!!! MABULA!!!!!!!!! SUPER!!!!!!!!!! KIBONGE!!!!!!!!"yap Power Mabula kipindi hicho akija shuleni kiingilio shilingi hamsini..
unatetemeka kweli kabla hata hajaanza kuonyesha mazingaubwe yake...
That guy was genius .. I'm not too sure if he's still alive tho....
natamani siku nisikie stor za pawa mabula
naskia ameshaacha kubeba vitu vizito siku hz
hivi ni nani haswa na anakaa wap
natamani siku nisikie stor za pawa mabula