Power Breakfast Clouds FM hapa mmefeli

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,532
Habari za biashara bora muache anaesoma azisome tu maana sasa hivi mnavyomhoji hata haileti mtiririko wenye mantiki...pamoja na hayo mnaemhoji anasoma tu ili kutoa maelezo ya swali badala ya kuwa knowledgeable kuhusu hiyo issue, of which ni wajibu wa mchambuzi wa uchumi...

pamoja na hayo kwa hadhi yenu Clouds FM hamfai kukosa info muhimu kama taarifa za masoko kv ya nafaka,mifugo nk habari zenu za biashara ziko shallower kwa business people kuzi consume na hata mkulima au mfanyabiashara mdogo na wa kati....

Habari za biashara zinafaa zitoe taarifa ya soko na mwenendo wa soko likiwemo solo la hisa la taifa na sio malalamiko pekee ya wafanyabiashara daily.

Clouds jifunzeni kwenye media za Kenya hapo muone namna habari zao za biashara zilivyo descriptive.

Ushauri huwa unachukuliwa au kupotezewa,it's up to you.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Clouds ni kwa ajili ya burudani, hayo mambo mengine ya kutumia akili hawawezi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
bado kuna watu wanasikiliza redio tu ?
Tupo baadhi nikiwemo,kwangu redio ni muhimu sana kuliko hata gazeti...hapa nipo na BBC world news, kila asubuhi nasikiliza Power Breakfast,Saa Tatu Usiku nasikiliza BBC Have your say,jioni unusu nasikiliza BBC Swahili...
 
Mmetoka kwa tbc sasa mmekuja kwa clouds wanazengo hawanaga jema

Sent using Jamii Forums mobile app
Clouds wanajitahidi tunatoa constructive opinions ili wajiboreshe Zaidi...ndio FM station ambayo mtu serious anaweza kuisikiliza selectively kv Power Breakfast,Amplifier,Sports Extra na Jahazi
 
Back
Top Bottom