Power bank made in Uganda. Hivi sasa ndio viwanda sio sisi Blah! Blah!

siwezi kukosea naongea nlicho fanyia utafiti acheni unafiki wa kutaka sifa ambazo hazipo, tanzania siasa nyingi kuliko maendeleo na kibaya zaid tuna uongozi wa hovyo kabisa unao jali siasa kuliko maendeleo.
Wala sitaki sifa angalia hata comment zangu nyingine nlikuoba unakosea uposema bidhaa zote

Haya weka basi uo utafiti ulioufanya na uliufanyaje. Tuone
 
siwezi kukosea naongea nlicho fanyia utafiti acheni unafiki wa kutaka sifa ambazo hazipo, tanzania siasa nyingi kuliko maendeleo na kibaya zaid tuna uongozi wa hovyo kabisa unao jali siasa kuliko maendeleo.
Hafu cha Pili unaongea kisaisa au kilaamu maana nisije nikawa najibizana na bavicha au uvccm
 
Maana ni sawa na mafundi 10 wanajenga nyumba, then watatu wanabomoa, yaan tofali 10 zikiwekwa on the spot wakati zile 10 zingine zikipanda, 3 zinabomolewa na hawa mafundi wengine. Wabomoaji ndo hawa tulionao humu na ciongozi wao kina mange, lissu na wengine so maendeleo yetu yatakuja kwa taratibu sana kwa sababu hiyo
 
mfano.wako.wa.kitoto kabisa nahisi hata wwe ni mtoto bado, kwanini hamaki kuusikia.ukweli?? tanzania tu mabingwa bwa siasa na pesa nyingi sana inapotelea huko tena siasa za kipumbavu kabisa
 
Binafsi naamini maneno huumba, kuna mzungu mmoja alipanda miti 2 akawa anaweka mbolea kila mti na kuumwagilia maji kila siku. Ila mti mmoja alikuwa akiutreat vizuri kwa maneno matam, na mwingine anautukana kila siku, amini usiamini ile miti ilikuwa inawasiliana maana alikuwa anapima na vipimo vyake na aliona huu mti uliokuwa unatukanwa kila siku afya yake ilikuwa dhoofu na huu mwingine ulikuwa na afya tela. Hivyo wengi mnaoisema vibaya tanzania, na matendo yenu yanaendana na mawazo yenu. Hivyo tanzania kufanikiwa ni vigumu kama nyie bado mpo.
Sawa tuma salamu kwa watu watatu.
 
Watu hamfanyi kazi mnakaa kulalamika tu kila kukicha unafikiri maendeleo anayaleta magufuli peke yake?, nyie wananchi msipotaka kufanya kazi, kujituma maendeleo hayawezi kuja menyewe
Hawafanyi kazi wanakula kwako hacha hizo.
 
Mkuu hizo stress zako kaa nazo mwenyewe, sasa kosa la mtoa mada ni lipi? Inamaana hata asiwasifie majirani zetu kwa kazi nzuri waliofanya eti anatukana nchi yake?

Wewe utakuwa na roho mbaya sana kushinda wote. Hakuna tusi lolote mwenye maandiko yake, wewe unakuja na matatizo yako hapa jukwaani, wakati mwingine sio lazima kuandika hapa.

Kama unataka kusifia nchi yako, tafuta kizuri kilichofanyika kisha anzisha uzi wako wa kusifia ili tuje kuweka comment zetu lakini usianze kuweka matusi yako hapa
Alikuwa anatafuta upenyo wa kuanza kutukana na kuharibu post.
 
Back
Top Bottom