Power bank made in Uganda. Hivi sasa ndio viwanda sio sisi Blah! Blah!

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,583
11,659
A 88000mAH Power Bank Made In Uganda, Nilikua Sina Shida Ya Power Bank Lakini Nimenunua Ili Kuwaunga Mkono Majirani...Hivi Sasa Ndio Viwanda Sio Sisi Bla Bla Bla

DXbDEIDWAAAAgUL.jpg

DXbDEi5XkAAUh1M.jpg

Ujinga Wa Ujanani Ndio Umaskini Wa Uzeeni

mr mkiki.
 
Mkuu hapa kwetu si unajua tena! Viwanda vinajegwa kwa kusweka wapinzani ndani, kununua wapinzani au hata "kuwaakwilinalize". Sasa ngoja kwanza tumalize upinzani halaf vikwazo vitakuwa vimeondoka na viwanda vitaibuka! Ha ha ha! What a dream!
kweli
 
Nachukia sana mtu anayeibeza nchi yangu. Unaitukana nchi ambayo na wewe umo inamaana unajitukana na wewe hukohuko. So anayeweza kutukana kivuli chake mwenyewe ni kichaa tu. So na huyu naye ni kichaa
Liko wapi tusi alilotukana?

Au na wew unafuratueshi kama za baba jagi? Mwambie 264 ni number ya majaabu, akaicheze tatu mzuka
 
Watu hamfanyi kazi mnakaa kulalamika tu kila kukicha unafikiri maendeleo anayaleta magufuli peke yake?, nyie wananchi msipotaka kufanya kazi, kujituma maendeleo hayawezi kuja menyewe
 
A 88000mAH Power Bank Made In Uganda, Nilikua Sina Shida Ya Power Bank Lakini Nimenunua Ili Kuwaunga Mkono Majirani...Hivi Sasa Ndio Viwanda Sio Sisi Bla Bla Bla

View attachment 704543
View attachment 704544

Ujinga Wa Ujanani Ndio Umaskini Wa Uzeeni

mr mkiki.
uganda wako vizuri nlinunua tairi yao aisee ina ubora wa hali ya juu, tanzania siasa nyingi sana tena siasa za kipumbavu kabisa pesa nying inapotelea kwenye siasa tena.za.kipuuzi
 
Watu hamfanyi kazi mnakaa kulalamika tu kila kukicha unafikiri maendeleo anayaleta magufuli peke yake?, nyie wananchi msipotaka kufanya kazi, kujituma maendeleo hayawezi kuja menyewe
wee nawe ni kilaza wa hali ya juu kabisa maana umekalilishwa maneno, na umeyakalili inawezekana vipi watu wawe hawafanyi kazi waka kulalamika? au we mwenzetu neno kazi unalielewaje?
 
Watu hamfanyi kazi mnakaa kulalamika tu kila kukicha unafikiri maendeleo anayaleta magufuli peke yake?, nyie wananchi msipotaka kufanya kazi, kujituma maendeleo hayawezi kuja menyewe
Mkuu hizo stress zako kaa nazo mwenyewe, sasa kosa la mtoa mada ni lipi? Inamaana hata asiwasifie majirani zetu kwa kazi nzuri waliofanya eti anatukana nchi yake?

Wewe utakuwa na roho mbaya sana kushinda wote. Hakuna tusi lolote mwenye maandiko yake, wewe unakuja na matatizo yako hapa jukwaani, wakati mwingine sio lazima kuandika hapa.

Kama unataka kusifia nchi yako, tafuta kizuri kilichofanyika kisha anzisha uzi wako wa kusifia ili tuje kuweka comment zetu lakini usianze kuweka matusi yako hapa
 
Mim mwenyewe siwez kuvaa bidhaa ya Tanzania hadi ccm iondoke madarakani
bidhaa za tanzania hazina ubora kabisaaaaa sababu mamlaka za viwango wala rushwa wakubwa, pakage za hovyo, ujazo wa hovyo, ubora wa.hovyo yaani kila kitu tanzania.hovyo kabisa

hata vyombo vya plastic vya tanzania hovyo kabisa vyepesi havina ubora beseni.bora ununue la kenya au uganda sio tanzania
 
Back
Top Bottom