Povu la Idriss Sultan kwa wanaopiga nude pics na kujiita models

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
268,078
1,094,736
BY @idrissultan - Respect our models, sio kila mdada aliye kaa kaa uchi tu anaitwa model .. Flaviana is a model, Herieth Paul is a Model, Millen is a model, Maggie Vampire is a model, Niler is a model, Lorraine is a model, Julitha, Cherie , Dax is a model, Ben breaker ni model, Lota, Dieitrich ni model na wengine wengi tu wanafanya runways na billboards na hata wale wanaofanya social media kwaajili ya maduka etc etc wapewe heshima yao... Huu upuuzi watu wanafanya na kusingizia ni modeling is rubbish kabisa unatangaza brand gani ? Vumbi ? Majani ? Mataulo ? ... Photographers wakiboya washaona gia ya kuwavua nguo ni kuwaita studio kuwagonga nude pics na kuwaambia nyie models ... Nyinyi ni Vyuchi sio models. Professional VYUCHI, international VYUCHI, overseas VYUCHI, VYUCHI unlimited supply ‍♂️ hawa VYUCHI hawatuachi salama​
 
Nilishawahi kuwaza,kuna wanawake wengi tu wanaotamani itangazwe na serikali ruhusa kutembea uchi ile wafanye yao..
 
madada wa tz hawaelew wenzetu mbele kina amber rose wakipiga pic za hvo ujue wanatangza jarida na wanalipwa pay ndefu mno
sasa wao wanapiga tu kupost insta then wanajiita models

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom