Povu la Emmanuel Mbasha baada ya madam Flora kuzindua kitabu chenye jina 'Siri za Flora Mbasha'

BAADA ya mwanamuziki wa Nyimbo za Injili Bongo, Flora Mbasha kusambaza kitabu alichokipa jina la Siri za Flora Mbasha kilichoanika ‘mabaya’ ya aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha, mumewe huyo ameibuka na ‘kumchana’ vibaya mwimbaji huyo na kusema hafai kuwa mke.

“Kifupi ni kwamba tabia ni kama ngozi, huwezi kuibadili. Wewe unaona sasa hivi anavyoelezea mambo aliyokuwa akiyafanya na mimi na kuongeza uongo wake, alishanifanyia hata mimi wakati nimemuoa. “Yaani yule mwanamke sijui bana, Mungu amsaidie. Yaani kwanza wakati mimi naanza kumfuatilia, huwezi kuamini, alikuwa na mwanaume mwingine.
flora ni moja ya aina ya wanawake wapumbavu na ni mfano wa wanawake wajinga sana. hata kuimba kwenyewe alikuwa analazimisha tu, hajui na nyimbi zilizo nyingi amecopy na kupaste za wenzake. ile tune hadi Rebecca malope alitaka kumaindi. mbasha atakuwa alipata shida sana kuishi na huyu shume.
 
Hawa nao,kwani inakatazwa kufanya tendo la ndoa mtu akiwa kwenye siku zake?Si anajisafisha vizuri tu jamani then anampa mmewe?kuna ubaya gani kwani.Hawa nao sijui wakoje ndo nini kutoleana mambo yenu mliyokuwa mkifanya mkiwa mnapendana?Si waangalie yaliyopo?Yaliyopita wayaache huko huko kwenye ndoa yao ya zamani.
wewe ndio mwanamke wa kweli. binafsi nilishafanya mapenzi wakati wa siku hizo na mke wangu, mchepuko wangu mara nyingi tu, na yeye anaridhia sometimes. I know it is not right spiritually sometimes,though it depends. some women wanapata hamu kali sana kipindi hicho na wenyewe wanahitaji, wakati mwingine unaenda safari miezi mingi tu kurudi unatakiwa ukae siku moja uondoke na mkeo yupo period, unajua usipomgonga siku hiyo ndo hadi mwezi ujao au uzidiwe genya ukachukue malaya huko safarini. wanawake wengi tu huwa wanaona bora iwe hivyo. halafu ukiwa na mke, period sio kitu cha siri tena, binafsi mke wangu hata kumvalisha pedi naweza, kufanya chochote, yeye ni mwili wangu, nammiliki. sasa kama jambo dogo kama hili analiongelea kwenye kitabu, angekutana na mtu anayemtumbukiza dole kwenye tigo wakati anamduuu si ndoo atamtungia wimbo? au angeliwa tigo kabisa angefanyaje? hopeless kabisa.
 
Yaani Watumishi wetu jamani.
Hilo povu lote la nini sasa kama kuachana si mmeachana?

Yaani haya ni madhara ya kutengana ilhali bado mnapendana.

Inaonekana dogo Mpya hana sauti kabisa, hawezi kuwa anakwenda kumuongelea x wake kila siku.

Igeni mfano wa Zari, japokuwa aliachana na Don lakini hakutaka kuongelea habari zake kabisa.
Sasa Frola......!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe Hute mchepuko wa nini wakati unamke ? Mengine yote uloandika napigia msitari. Ila achana na mchepuko.
 
Wakati mwingine ndio madhara ya kuwaonea huruma wake zetu, wakienda kitaaa wanafumuliwa mishono dharau zinaanzia hapo
 
Flora ametishaaa ametengeneza hadi kitabu!!! ajabu mume mpya na yeye anakisifia na kumsaidia kwenye mauzo hajui kama zake zinakuja.....
Anazidi kujidhalilisha ifike muda sasa watu wazima wenye busara zao wamkalishe chini na kumfunza jinsi ya kushindana na mambo ya dunia.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom