Povidone iodine

Osmokalu

Senior Member
Nov 13, 2015
183
143
Ushauri wenu,hivi dawa hiyo unaweza safishia kidonda cha operation na pia kuitumia kama dawa unapo taka kukifunga kidonda hicho au matumizi yake kiusahihi ni yapi
 
Hiyo ni disinfectant. Inaweza kutumika kabla na baada ya operation kuondoa germs!
 
Back
Top Bottom