Poverty in USA

Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
19,602
59,458
Guys kumbe nchi iliyoendelea nayo ipo na maskini.

Nashindwa kuelewa.

Screenshot_20210401-224237.png

 
Ha ha ha..... Inaonekana maskini wanakula na kushiba sana kuliko matajiri
Ma vyakula cheap ma burgers yananenepesha sana, matajiri wanakula mavitu organic halafu kwa vipimo.

Ukimuangalia Tim Cook, Bill Gates au Mark Zuckerberg kwa sie tuliozoea tajiri mtu mnene kama Peter Msechu, unaweza kufikiri hawa vidampa tu.

Kumbe ndio mabilionea wenyewe hao.
 
Back
Top Bottom