Pousen:kocha wa taifa stars au kili stars atakufa na pressure bure

MZEE SERENGETI

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
214
10
Ndugu zangu wana JF,Huyu Mzee kwa mwendo huu wa kusuasua wa taifa Stars chamoto atakipata na sisi tulivyo tunategemea kushinda muda wote,wenzangu mnaonaje mwenendo wa timu yetu ya Taifa.
 
Back
Top Bottom