Pound Million 29.5 wapewe Wanafunzi waliokosa mkopo

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
245
wadau kama Membe amesema hayo mabilioni ya wingreza yaliyokuja wanafunzi watafaidika sasa basi wapewe waliokosa.
 
Unaijua sirikali hauijui?.izo pesa tyr kwishaenda kw ma2mbo ya wa2 kabla ht hazijaingia.CHEZEA TZ WW!
 
Hilo lingefanyika, ingekuwa na uamuzi wa busara. Ila nani wa kumshauri jk?
 
jamaa (Membe) alikuwa akitoa taarifa kwa majivuno na majigambo yaani!! , ana 'confidence' kweli kututaarifu umma kuwa wapo kwenye mchakato mwingine wa kuwawezesha wanafunzi kupata madawati, waalimu kujengewa nyumba na tantalila miiingi kama ilivyo ada kusema ni rahisi, suala ni utekelezaji... halafu mi najiuliza .....kama hizi pesa imedhihirika ziliibwa, sasa mbona sikumsikia akiwaongelea waliohusika na wizi huo?!! maana wanajulikana!! huyo dalali kanjibahi mla pilipili si anajulikana?! waliohusika na manunuzi si wanajulikana?!!
halafu it is known kuwa wizi wa pesa za mtanzania upo kwenye malipo na manunuzi....bado tena wanatengeneza namna za kufanya manunuzi na malipo kwa pesa zilizoibiwa kutokana na malipo ya manunuzi !!! JAAAAAAH!!! tuombe uzima, am telling you wanajamii hili litazungumzwa, litapita... madawati hayataonekana kama yatanunuliwa lazima watu watakula chao, dawati 1 la wnafunzi wawili utasikia laki 3 au nne, wakati likizidi sana elfu 90 au laki moja.... hizo nyumba nazo zitaundiwa "tume ya uratibu wa mchakato wa upangaji mkakati kufanikisha utekelezaji" (wizi mwingine in the making).
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom