POULSEN NAKUOMBA TAFADHALI SANA MPE NAFASI ALI MUSTAFA (barthez) ili tuone vipya NI OMBI TUU.

Tanzania1960

JF-Expert Member
Sep 6, 2012
204
22
Naomba la moyoni niliweke hapa,mzee hebu mpe huyu kijana nafasi na sisi tuone mabadiliko mlangoni,nakwambia hutajuta kwa sababu hatakuangusha wewe wala watanzania kwa ujumla,hili ni ombi tuu kwa sababu wewe ndio mtu wa mwisho kuamua.Asante sana.
 
We subutu yule mkigoma hafai kua nae kikosi ki1, anakuroga we hadi kocha,. Pale labda kaseja aondoke ndo tuneza ona vipa vipya
 
Timu ya Taifa hapelekwi mtu kujaribiwa. Yeye Poulsen anaona hao aliowachagua ndio wanaomfaa. Inawezekana Barthez anastahili kuwa timu ya taifa, lkn si yeye tu, hata Selembe wa Coastal Union wengi tunaona alifaa kuwemo lkn ndio hivyo tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom