Postgradute diploma chuo cha ustawi wa jamii

MANAKE MKARI

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
281
211
Wakuu naomba msaada kwa anayejua majina ya walioomba postgraduate diploma chuo cha ustawi wa jamii yatatoka lini. Nimejaribu kutembelea website yao ili angalau nipate namba ya simu lakini naona iko suspended.
 
Kulikuwa na mgogoro kati ya chuo na baadhi ya wahadhiri ,chuo kimefunguliwa wiki iliyopita endelea kusubiri
 
Back
Top Bottom