Postgraduate Diploma inaitwaje kwalugha yetu?

Postgraduate Diploma inaitwa Stashahada ya Uzamili. Lakin hiyo tafsiri yako ya PhD sio sahihi. Ni Shahada ya Uzamivu na sio Uzamifu
 
Kama ulivyoelezwa na Kipilime ni sahihi.
Pia upanuke mawazo kuhusu neno Postgraduate- Hata mwanafunzi wa Master ni category hiyo hiyo,tofauti ni maelezo -PGD( postgraduat in Degree),PGD-Postgraduate in Diploma.Kuna tatizo la wanafunzi wengi wa Tanzania hasa wanaosoma vyuo vinavyotoa /vilivyokuwa vinatoa Advanced Diploma, wengi wanashindwa kuyaelewa vyema maneno haya ,Master na Postgraduate,wanafikiri unaposema Postgraduate unamaanisha Postgraduate in Diploma wanasahau kuwa Master pia ni Postgraduate kama nilivyokuelezea hapo juu.
Nilikuwa kwenye mdahalo mwanafunzi wa MUCCoBs aliyekuwa anasoma Postgraduate in Diploma katika maelezo yake akasema hivi; namnukuu.."Bodi ya mikopo iangalie uwezekano wa kutupatia mikopo sisi wa Postgraduate kama ifanyavyo kwa wanafunzi wa Master)."
Inawezekana una ufahamu kwa hili ila pia kwa faida ya wengine sio mbaya.
Master ni uzamili na Phd ni uzamifu,hii PGD huitwaje kwa lugha ya taifa?
 
Umefafanua uzuri mkuu,na astashahada na cheti kuna tofauti yoyote?
 
Certificate: Cheti
Diploma: Astashahada
Advanced Diploma: Stashadaha ya Juu
Degree: Shahada
Postigraduate Diploma: Stashahada ya Uzamili
Masters: Shahada ya Uzamili
PHD: Shahada ya Uzamivu....

Kaka upo hapo?
 
Na ukiwa na advance diploma unaendelea na level gani kama unataka kujiendeleza
 
Certificate: Cheti
Diploma: Astashahada
Advanced Diploma: Stashadaha ya Juu
Degree: Shahada
Postigraduate Diploma: Stashahada ya Uzamili
Masters: Shahada ya Uzamili
PHD: Shahada ya Uzamivu....

Kaka upo hapo?
Diploma = Stashahada na kwa mujibu wa Gerrard Cheti ndio Astashahada.
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Ndugu ni maswala ya lugha hayo swala hili kwa wana jf ni dogo sana, ushauri tafuta kwenye kamusi ya kisw.
 
Pia jitaidi kufutilia kvipindi mbalimbali vya kisw ktk vyombo vya habari mf tbc, radio one nk.
 
PIA JITAIDI KUFUTILIA KVIPINDI MBALIMBALI VYA KISW KTK  VYOMBO VYA HABARI MF TBC, RADIO ONE NK.
 
]Certificate: Cheti
Diploma: Astashahada
[/B]Advanced Diploma: Stashadaha ya Juu
Degree: Shahada
Postigraduate Diploma: Stashahada ya Uzamili
Masters: Shahada ya Uzamili
PHD: Shahada ya Uzamivu....

Kaka upo hapo?

Certificate ndio Astashahada
Diploma ndio Stashahada
source Chuo Cha utumishi wa umma Magogoni
 
Back
Top Bottom