PhD ni UZAMIVU.
Master ni uzamili na Phd ni uzamifu,hii PGD huitwaje kwa lugha ya taifa?
Umefafanua uzuri mkuu,na astashahada na cheti kuna tofauti yoyote?Kama ulivyoelezwa na Kipilime ni sahihi.
Pia upanuke mawazo kuhusu neno Postgraduate- Hata mwanafunzi wa Master ni category hiyo hiyo,tofauti ni maelezo -PGD( postgraduat in Degree),PGD-Postgraduate in Diploma.Kuna tatizo la wanafunzi wengi wa Tanzania hasa wanaosoma vyuo vinavyotoa /vilivyokuwa vinatoa Advanced Diploma, wengi wanashindwa kuyaelewa vyema maneno haya ,Master na Postgraduate,wanafikiri unaposema Postgraduate unamaanisha Postgraduate in Diploma wanasahau kuwa Master pia ni Postgraduate kama nilivyokuelezea hapo juu.
Nilikuwa kwenye mdahalo mwanafunzi wa MUCCoBs aliyekuwa anasoma Postgraduate in Diploma katika maelezo yake akasema hivi; namnukuu.."Bodi ya mikopo iangalie uwezekano wa kutupatia mikopo sisi wa Postgraduate kama ifanyavyo kwa wanafunzi wa Master)."
Inawezekana una ufahamu kwa hili ila pia kwa faida ya wengine sio mbaya.
They are one and the sameUmefafanua uzuri mkuu,na astashahada na cheti kuna tofauti yoyote?
Diploma = Stashahada na kwa mujibu wa Gerrard Cheti ndio Astashahada.Certificate: Cheti
Diploma: Astashahada
Advanced Diploma: Stashadaha ya Juu
Degree: Shahada
Postigraduate Diploma: Stashahada ya Uzamili
Masters: Shahada ya Uzamili
PHD: Shahada ya Uzamivu....
Kaka upo hapo?
Vyuo kama UDSM unaanza na 1st degree kwingine kama MU unapiga masters.Na ukiwa na advance diploma unaendelea na level gani kama unataka kujiendeleza
Na kwa mujibu wa NECTA, MACTE,TCU, BAKITA,na TUKI piaDiploma = Stashahada na kwa mujibu wa Gerrard Cheti ndio Astashahada.
]Certificate: Cheti
Diploma: Astashahada
[/B]Advanced Diploma: Stashadaha ya Juu
Degree: Shahada
Postigraduate Diploma: Stashahada ya Uzamili
Masters: Shahada ya Uzamili
PHD: Shahada ya Uzamivu....
Kaka upo hapo?