Poster za Chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Poster za Chadema

Discussion in 'Jamii Photos' started by Sniper, Apr 6, 2012.

 1. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Bbb
   
 2. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Chaga Development Manifesto(CHADEMA)
   
 3. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Uko right kaka kwani;

  Vicent Nyerere mbunge wa Musoma mjini wa tiketi ya CDM ni mchaga

  Zito kabwe Mchaga

  Lisu Mchaga

  Dr. Slaa Mchaga

  Wananchi wa Arumeru wachaga

  Prof. Safari Mchaga

  Mch. Msigwa Mchaga

  Mr II mchaga

  Hata mimi na wewe wachaga
   
 4. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  na shangazi yake mchaga!!
   
 5. M

  Mrume Member

  #5
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha kupandikiza siasa chafu za ukabila humu ndani na hicho ndio kitu kilichowaponza Arumeru, watu wanataka sera nyinyi mnakimbilia matusi mtafikiri mpo uwanja wa fisi. Sikutegemea kama Serikali sikivu na makini inaweza kusimamisha kicha kwenye kampeni kama Lusinde hakika ccm kaburi linawasubiri kwasababu hamna jipya la kuwaeleza watanzani. Sasa hivi kilichobaki mnataka kuigeuza nchi hii kama ya kifalme, baba akifa mtoto anarithi, Baba fisadi mtoto mwizi na mfanya biashara ya madawa ya kulevya. Mtanzania wa sasa sio wakipindi kile cha jembe na nyundo, sa ya ukombozi ni sasa tuamkeni kuwaondoa hawa wadhalimu na wezi wa rasilimali za nchi yetu'
   
 6. U

  Uswaa sam Member

  #6
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha uvivu wa kufikir ww gamba
   
 7. W

  Wanyamtura Member

  #7
  Apr 7, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  lakini chedema wengi ni wachanga kama si wachaga wanatoka Kanda ya kaskazini,
   
 8. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #8
  Apr 7, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Unaumwa wewe!Tena kama siokuhara na malaria yakichwa!
   
 9. G

  Godfrey waryoba Member

  #9
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jf tukubaliane na ukweli huu kwamba CDM kinachoharibu ni ukabila kwani mbowe hataki kufanya na wezake kwa mfano 2007-2008 wakati mbowe alikuwa mwenyekiti wa chadema kwa nini mbowe alimuundia tume ya wazee ikiongozwa na mzee mtei baba mkwe wa mbowe kumchunguza naibu mwenyekiti wa chadema marehemu CHACHA ZAKAYO WANGWE na tume hiyo kutoa tamko la kumsimamisha marehemu chacha wangwe na kumfutia uanachama bila kosa lolote vilevile kwa mjibu wa washeria za nchi na za chadema zinasema kuwa tume haina mamlaka kisheria kumsimamisha kiongozi na ni kwanini mbowe hakutaka kufanya kazi na wangwe ambaye ni kiongozi mpiganaji na aliyetete haki za watanzania ? Hakika chadema aitasonga mbele bila mbowe kujirekebisha.
   
 10. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  na bibi yake pia
   
 11. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  lol ......
   
 12. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  futa huu uchafu we sister du
   
 13. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #13
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  @Manyafu,u can do better.hiyo quality bdo ndogo sanag
   
 14. BUBE

  BUBE JF-Expert Member

  #14
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  NANI HANA KABILA? BILA SHAKA akitokea mtu yeyote hata kama si mgogo ataitwa mnyiha au mmakonde....Suala la ukabila halina mshiko. Ninaimani na wewe una kabila.
   
 15. M

  Mkuruka JF-Expert Member

  #15
  Apr 8, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 289
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Kwanini tuongelee ukabila karne hii ya usomi, maendeleo na tena ustarabu? Tuongee nani anaweza nini, kafanya nini kwa ajili ya taifa letu. Watu ambao kila jambo anaanza kuliangalia kwa mtazamo wa kikabila na dini hawana nafasi katika dunia ya leo. Kabila au dini sio issue kwa watanzania wa leo nawe unaeendekeza hayo utapwaya kwenye dunia tunayoenda nayo sasa. Badilikeni Jamani!
   
 16. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #16
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  dr mbasa mbunge wa biharamulo ni mchaga?wenje je?sugu, achana nao m4c kiboko yao
   
 17. B

  Buto JF-Expert Member

  #17
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  na baba yake pia
   
 18. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #18
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  haijatulia na kimsingi hayo ni majibu rahisi kwa maswali magumu na ya msingi, na hayana tofauti na majibu ya ccm ukizungumzia kurishana madaraka kifamilia.
   
 19. k

  kagame Senior Member

  #19
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 6, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Duuh, weye siyo tu gamba ila akili mgando, hata level ya kufikiri kwa Masaburi hujafikia labda unafikiria kwa kutumia lile tundu la masaburini!
   
 20. k

  kagame Senior Member

  #20
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 6, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Lete research jamvini uliyoifanya au tugee takwimu ulizonazo pamoja na source yake huenda utakuwa umejenga hoja vinginevyo nawe ni wale wale, Lusinde boys! Mtakufa mwaka huu
   
Loading...