Poster ya kupambana na wakufunzi wa vyuo wanaowanyanyasa wanafunzi wa kike

IsangulaKG

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
706
386
View attachment STOP SEXUAL HARRASSMENT-POSTER.pdf Hii ni kwa hisani ya www.uadilifu.blogspot.com
Kama hali ni ngumu kiasi hiki kwa madad zetu walioko vyuoni ni lazima tushirikiane kutokomeza hali hii
STOP SEXUAL HARRASSMENT-POSTER.jpg
 
sexual harrasment sio tu kwa wanawake. pia na wanawake wanfanya sexual harrassment kwa wanaume kwa kutembea uchi
 
sexual harrasment sio tu kwa wanawake. pia na wanawake wanfanya sexual harrassment kwa wanaume kwa kutembea uchi

You're Right Isimilo but Ni vema tuanze na tatizo kubwa ..hayo mengine ni madogo madogo na yapo ndani ya mtu mwenyewe kuyazuia
 
nijuavyo mimi walimu wa wanaume vyuo hunyanyaswa zaidi na mabinti kuliko mabinti wanavyo nyanyasika
Kweli kabisa, mimi ni mwanamke na nimeona mabinti wengi wa vyuo wanatafuta kunyanyasika wenyewe, katika kesi 100, yawezekana 1 tu ndo kanyanyasika kweli. wengi wanayataka wenyewe yakiwashinda ndo wanaanza kulialia. Wakipewa semina na maelekezo jinsi ya kuepuka kunyanyaswa hawazingatii kwa sababu ya kupenda vya bure.
 
Kitakwimu wanawake wanaongoza kuwanyanyasa wakufunzi vyuoni tena kwa makusudi. Na hili linakuja kwa wao kutaka alama za chee! But wakufunzi hawalalamiki kwani huchukulia kama wanaofanya vitendo hivyo wamepitiwa tu na hakuna sheria inayomlinda mwanamme na unyanyasji huu zaidi sheria inawalinda wanyanyasaji hawa. Labda katiba mpya itakuja na tiba.
 
Wadada wanjilengesha wenyewe wacha watumiwe.
Binafsi n tutorial lkn shida tupo kwa waschana wa vyuo.
 
labda wanafunzi wa enzi za mwalimu! ungejua hawa wa kipind hichi wao wenyewe ndo wanajikombeleza watoke na wakufunzi wao na wanaona deal kweli kweli.
 
na vyuo viwe kama seminary basi kuwe na vya wavulana na vingine vya wasichana,maana sasa na ukubwa wote huo kama mwanachuo hajui haki zake na wajibu wake basi tena
 
Back
Top Bottom