Posta dar kunanuka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Posta dar kunanuka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Madoido, Aug 1, 2011.

 1. M

  Madoido Senior Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani nimepita posta mpya yaani kunanuka sana, yaani kinye........i kwa kwenda mbele, yaani ni zaidi ya kule kwa tumbo au mtogole,,ebu wadau piteni hapo posta mpya karibu na hiyo sheli yaani ni balaa tupu, hivi hakuna wahusika wa jiji wazibe hiyo mitalo ya uchafu.maanake ni hatari kwa magonjwa ya mlipuko.....nawakilisha
   
Loading...