Post zote za kidini zisirusiwe tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Post zote za kidini zisirusiwe tena

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ghost, Jun 29, 2011.

 1. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  I call on all JF moderators, for the benefit of national interests, please DO NOT accept any more and infact delete all posts which are connected to any religious comments, outbursts or incitement.
  Of recent we have seen a number of posts/threads which are started by some members attacking some religious beliefs and customs, it may seem just a small matter, but am worried this trend will/may have detremantal and lasting effects to society.
  It's never to late to implement this.

  Mungu Ibariki Tanzania...
   
 2. G

  GunzInTheAir JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Iwapo hazitoruhusiwa, basi hakika nilichokifanya leo kwa wale waliokuwa wanaona sawa ni utamaduni wao wa kukashifu dini za watu na kuachiwa hivi hivi nadhani kimefanya kazi.

  Najua nilichofanya kilivuka mipaka, but i had to do it, and took responsibility for it, and am glad to say that post za kukashifu dini yangu ya amani na upendo ya kiislam zimeondoka. Na iwapo ningekaa kimya, basi wale waliokuwa wakichafua hewa humu ndani kwa kutukana uislam wangekuwa wanaendelea siku hadi siku. Na hawa mods nao ni wachochezi wa dini vile vile, wanachukua hatua baada ya mambo kuharibika, ina maana walikuwa hawaoni wale waj*nga walipokuwa wakitusi dini nyingine ? au kwa kuwa uongozi wa jf ni wa kikristo ?

  Waislam/Uislam tumetukanwa sana humu ndani, na nina hakika iwapo ningekaa kimya, basi chuki na matusi yangeendelea dhidi ya uislam na waislam.
   
 3. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndo mana naomba hii trend iishe haraka sana for obvious reasons...tuko hapa trading blows, but imagine watoto wetu tunawafundisha nini huko majumbani mwetu...Tunalea chuki ambayo itatumaliza badae...We have always existed side by side, ila of recent mambo yanaonekana sio mazuri.
  Uongozi wa JF naomba chonde chonde we are heading for disaster....don't let this forum be a tool for inciting religious violence in the country!
   
 4. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Partly i do agree with you but the main problem is the tendency of people who deviates from the main topic and start to attack the belief of others. This tarnish the image of JF and its contributors hence our motto "home of great thinkers" becomes absurd.


  Tujadili mada wapendwa tuache kujadili imani za watu. Kila mmoja imani yake ni sahihi kulingana yeye binafsi kwani ingekuwa vinginevyo angeshaiacha hiyo imani hivyo. Kama tunajadili bomu la Kakobe tujadili maudhui yake na si kuushambulia uanglikana ukatoliki uislamu au uprotestanti.

  Kama tunaweza kujikita kwenye mada/hoja bila kujadili imani za watu na kushambuliana sidhani kama thread zenye maudhui ya kidini ni mbaya.
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Peleka ombi maalum kwa admistrators kwamba wafute jukwaa la dini.
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  What a wastage!
   
 7. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280


  is the way of knowing the capacity of understanding,we need them
   
 8. G

  GunzInTheAir JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  fel-low dont get it started, maana sidhani kama utaweza kukizima kikinuka
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kamikaze attacks!
   
 10. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ghost unaogopa kuombewa. turn to human
   
 11. G

  GunzInTheAir JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Uongozi mzima wa JF uliweka baraka kwa hawa akina maxshimba na wenzake ktk kutukana na kukashifu dini ya kiislam kwa kuacha post za hao watajwa na bila ya kupewa onyo lolote. Kumbuka vitendo hivi sio vigeni, bali ni vya siku nyingi. Cha kushangaza ni kwamba, uongozi wa JF umekuwa mstari wa mbele kabisa kuendeleza chuki dhidi ya uislam na waislam, lkn inapotokea ukristo ukashambuliwa kama uislam ulivyoshambuliwa, hapo ndipo wanapoona pa kuchukua hatua. Je, hii ni sawa ? si sawa.

  Ukweli lazima uwekwe wazi, najua watafuta hii post kama walivyofuta posts zangu zilizopita, lkn hawa hawa moderators wa jf ndio wanaochochea matusi dhidi ya waislam.
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  This is very low....ur blind eyed.....Malaria Sugu and Co have been doing the same on the other side. You were happy, Long Live MaxShimba
   
 13. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ufanyike uchunguzi yakinifu kabla ya kuchukua maamuzi haya!!
   
 14. G

  GunzInTheAir JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ndio nini hiyo kwenye red ?
   
 15. G

  GunzInTheAir JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa sababu wakifanya, matokeo yatakuwa against na uongozi, hivyo sitegemei kitu kama hiki kufanyika.
   
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Saa nyingine mimi nashindwa kuelewa tafsiri ya neno tusi, hivi kumuita mtume Muhamad ni marehemu hilo ni tusi?
   
 17. G

  GunzInTheAir JF-Expert Member

  #17
  Jun 29, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  katika thread zooote za kashfa na matusi dhidi ya uislam, neno baya kuliko yote uliloliona wewe ni marehemu ? kama ndio hivyo, basi nina hakika hukupitia thread zote
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nimerekebisha! asante

  Kwanini nyie mnapenda sana kulia lia kama mtume wenu?
   
 19. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #19
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nyie I didn't start this post for you to continue this NONSENSE....This a serious issue and you should either support my intentions or let it be. Sio tena kuendeleza malumbana ya kijinga...
  Asanteni
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mkuu mbona unaleta matusi! ungeeandika basi na majina ya wachangiaji....I thought JF is a free forum...we dare talk openly......
   
Loading...