wakuu kuna tetesi kuwa zile post za ualimu tayari zipokwenye computer za wizara kuonesha jina la mtu na mkoa atakao kwenda je ni kweli?na zile tetesio kuwa mikoa ya ajira ni saba tu zinauhakika?
Hivi ualimu nayo ni kazi ya kusubiri?
Hivi ualimu nayo ni kazi ya kusubiri?
Mmh, we unaonaje?Hivi ualimu nayo ni kazi ya kusubiri?
Mmh, we unaonaje?
Aah kumbe ulimaanisha hivyo, basi the way ulivosema mwanzo ilileta picha nyingine kabisa! Kama ni hivo yes, ni bora zaidisio kazi ya kusubiria coz walimu wanahitajika sana mtaani,so unaweza kwenda private schools ukapga mzigo kuliko kukaa unasubir hzo posts za wizara ya mulugo.
Aah kumbe ulimaanisha hivyo, basi the way ulivosema mwanzo ilileta picha nyingine kabisa! Kama ni hivo yes, ni bora zaidi