post za ualimu za januari zitakuwa kwenye mtandao lini?

Mati

Member
Jun 15, 2012
16
6
wakuu kuna tetesi kuwa zile post za ualimu tayari zipokwenye computer za wizara kuonesha jina la mtu na mkoa atakao kwenda je ni kweli?na zile tetesio kuwa mikoa ya ajira ni saba tu zinauhakika?
 
Tafuta ajira acha kungojea ualimu
 
Watanzania kwa kupenda fununu...Sasa kumbe unajua ni January, si usubiri?
 
Mmh, we unaonaje?

sio kazi ya kusubiria coz walimu wanahitajika sana mtaani,so unaweza kwenda private schools ukapga mzigo kuliko kukaa unasubir hzo posts za wizara ya mulugo.
 
Aah kumbe ulimaanisha hivyo, basi the way ulivosema mwanzo ilileta picha nyingine kabisa! Kama ni hivo yes, ni bora zaidi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom