Post za kidato cha tano 2013 zinatoka lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Post za kidato cha tano 2013 zinatoka lini?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Grayson aloyce, Mar 27, 2013.

 1. G

  Grayson aloyce New Member

  #1
  Mar 27, 2013
  Joined: Feb 22, 2013
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  wadau naombeni mnisaidie kama kuna mwenye tetesi zozote kuhusu post za kidato cha tano ili watu wajiandae mapema na kuweza kumudu gharama mbalimbali pamoja na kujua combination walizochaguliwa ikiwezekana watu waanze tution
   
 2. mwita mohere

  mwita mohere Member

  #2
  Mar 29, 2013
  Joined: Mar 15, 2013
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwz wa nne mwanzon
   
 3. mapunda b

  mapunda b JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2013
  Joined: Feb 8, 2013
  Messages: 434
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mh iv n kwej eeh?
   
 4. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2013
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 135
  hao kwenye red....ni watu gani hao unaowaofia? Kwanini usiwe direct kwamba ni wewe mwenyewe?

  Hapo kwenye blue...kuwa makini sana na hizo tuition, zimeponza wengi sana...
   
 5. S

  Sadick Nkinda Member

  #5
  Feb 28, 2014
  Joined: Feb 15, 2014
  Messages: 78
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  duh jamani mm nataka kujua lin post zetu zinatoka naomba mnijuze
   
 6. godimpare

  godimpare JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2014
  Joined: Feb 10, 2014
  Messages: 688
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  post za division 5 au sema sentensi kamili
   
 7. Darius

  Darius JF-Expert Member

  #7
  Feb 28, 2014
  Joined: Jun 16, 2013
  Messages: 1,961
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  shule mwezi wa7 so post anza kuuliza kuanzia mwezi wa tano ...naomba ufute uzi wako! over
   
 8. U

  USILALE Member

  #8
  Feb 28, 2014
  Joined: Dec 17, 2013
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mbona mna haraka? Ndio maana mnazirolisha.
   
Loading...