mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,652
- 1,238
Nipo salama sana wana JF,katika post hii leo naona niitumie kwa kumpa pole yule mzee wa zeze(Top in Dar)kwa bomoa bomoa iliyomkumba na kumsababishia kuipoteza studio yake ya top band na uzio wa nyumba ambao ulijengwa kwa staili za falme za kiarabu,pole sana kwa hasara uliyoipata Mungu atakurejeshea!!