Post ya Wema Sepetu akiwakashfu viongozi waliohamia UKAWA

Amina mtu wa Mungu!uliona mbali!
Usije jaribu mpeleka mwanao au hata kumruhusu aingie Umiss, Bongo Movie na Bongo fleva sijui mamiziki gani yale. Ukifanya hivyo umemuuza.

Hii imekuwa ndio msimamo wangu miaka na miaka. Waliokuwa wananipinga (sio JF) kuwa ni sanaa mara sijui nini nadhani wananielewa.

Mungu awahurumie!
 
kama hao watu ww umewaona hawana akili basi ujue wenye akili duniani hawapo.
 
Ukipeleka mtoto wako kwenye "U miss" umeshampoteza tayari. Wachache sana wanaponaga huu ugonjwa!
Sasa hao si ni baba na babu zake? Hata kama wangekuwa wadogo zake matusi ya nini?

Sitashangaa kusikia anatumia unga!


big up uliona mbali sana

attachment.php
 
hata mwenyewe anajua hakuwa upande sahihi...!!hivi mfano we mtoa mada mwanao akimtukana mtu wa makamo yako utachekelea??ukiona mzazi anafyrahia ujinga wa mwanae ujue mzazi ni mpumbavu,uzuri hawa wazee waako humbled,full exposure,educated,wealth enough ndomana wakawa cool tu,lakini leo sizonje baba jesca anakimbiza na viteenager vinavyo mdiss kwenye mitandao
 
Back
Top Bottom