Post ya Wema Sepetu akiwakashfu viongozi waliohamia UKAWA

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,338
attachment.php


SASA POST WEWE KAJAMBANANI UONE UTAKAVYOSHUGHULIKIWA NA TUTAISOMA NAMBA
 

Attachments

  • IMG_20151027_132220.jpg
    IMG_20151027_132220.jpg
    54 KB · Views: 1,529
Ukipeleka mtoto wako kwenye "U miss" umeshampoteza tayari. Wachache sana wanaponaga huu ugonjwa!
Sasa hao si ni baba na babu zake? Hata kama wangekuwa wadogo zake matusi ya nini?

Sitashangaa kusikia anatumia unga!

Haionekani, tupeni link

attachment.php
 
Tukisema hewala Mungu atalipa itakuwa njema zaidi.
'Mimi nzalendo namshitaki Wema Sepetu kwa mwenyezi Mungu'.
Sina shaka Mungu atajibu soon.
 
Ccm inawaongopea sana hawa wasanii hajui hao aliowatukana wana nguvu na wanakubalika na watu duniani siyo yeye Instagram mwacheni ajiongopee hii dunia atafunzwa na walimwengu
 
sasa kuna chaajabu hapo .mlitegemea nini kukipata kutoka KWA wema?? MTU ambaye anaweza kuanika nyeti zake hadharani bila woga??

mm ningeomba mmwombee tuu kwa mwenyezi mungu
 
Ukipeleka mtoto wako kwenye "U miss" umeshampoteza tayari. Wachache sana wanaponaga huu ugonjwa!
Sasa hao si ni baba na babu zake? Hata kama wangekuwa wadogo zake matusi ya nini?

Sitashangaa kusikia anatumia unga!



attachment.php
sheria ipo kwa wote wema hapa amekosa nidhamu sisi kama jamii hutuwezi kukaa kimya huyu mtu mmoja asiye na nidhamu aharibu kizazi chetu ,mamlaka husika ichukue mkondo wake tukianza na cyber crime act ianze kazi sasa ,endapo hali hii itaachwa hivi tafsiri yake pana ni kuwa ni ruhusa kwa watoto kutukana wazee katika jamii inayokuzunguka bila kujali mazingira uliopo .nawakilisha
 
Naamini TCRA hawawezi kufanya lolote hapo dhidi ya huyu binti kwakuwa yuko CCM. Hao wazee ni zaidi ya mzazi wake. Mungu atamwonyesha siku moja.
 
Hahahaaaaa!..wapiga dili katika ubora wao.ila sifa ya ulofa ilikua inawapendeza wote watatu.
 
Back
Top Bottom