Post-Mortem: Sababu Za CHADEMA Kushinda Majimbo Zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Post-Mortem: Sababu Za CHADEMA Kushinda Majimbo Zaidi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Superman, Nov 6, 2010.

 1. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Wana JF,

  Kwa maoni na utafiti wako, ni kwa nini CHADEMA wameshinda majimbo mengi kuliko 2005 na kupata zaidi kura za Urais kuliko 2005?

  Naomba kuwakilisha.
   
 2. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  ni baada ya ccm kujikanganya kwa kuleta watu ambao hawakubaliki majimboni kwa sababu wazijuazo wao.... example....JIMBO LA UBUNGO....NAPE ANGEPITA BILA MSUKOSUKO.........wakamwaga dogo nasi tukawamwaga....ikabidi kura yangu nimpe mtu ambaye yupo makini ...hivyo ndivyo ilvyokuwa.......MFANO MWINGINE NI HUKO KIBONDO-MUHAMBWE.....AMBAKO WALIMPITISHA MTU MCHAFU KISA TU NI NGOME YA CCM...WATU WAKAJIBU MAPIGO KWA KULIGAWA JIMBO........MY TAKE...... CCM IKIONDOA DOSARI HIZO......ITAJIZOLEA ZAIDI YA ILIVYOZOA...NA IKIENDELEZA UPUUZI HUU(wenyewe wanaita tofauti ndogo ndogo) HASIRA ZA UMMA ZITAWAANGUKIA
   
Loading...