Hii article imenifurahisha sana naona mwelekeo wa tiba ya huu ugonjwa na it is possible kutumia hizi natural herbs ulizozitaja walau kupunguza makali.Asee!Watu wanafanya postmortem siyo kuzika tu.
Sasa nashawishika na wale waliosema limao inaweza kuwa nzuri kupunguza madhara ya free iron ion.
Kwa article hii,ni mwanzo mzuri wa kufanyia utafiti baadhi ya vitu vingine kama vitunguu saumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo wote mkuuHapo wazee wa HGL. KLF , HKL wametoka kapa. Kama unajua equation ya mtu kufa kwa jiko la mkaa basi utakua umemwelewa huyu jamaa
Haha, hapana mkuu, mbona mimi nimesoma hizo hizo tu mkuu, inategemea na uelewa wa ntu na ntu.Hapo wazee wa HGL. KLF , HKL wametoka kapa. Kama unajua equation ya mtu kufa kwa jiko la mkaa basi utakua umemwelewa huyu jamaa
Nasoma comments zenu naimani nitapata kilichoandikwa kwenye thread
Hii pathophysiology kutoka nchi gani???......Mbona kama imeandikwa na mwanafunzi wa form 2
Nasoma comments zenu naimani nitapata kilichoandikwa kwenye thread
Kuanzia kesho madaktari wa bongo wataibuka kama wachambuzi wa soka la bongo ambapo kila mtu anajifanya anajua wakati hata danadana hajui kupiga. Wataelezea matokeo ya utafiti huu huko BBC swahili, DW, nk wakati wao mgojwa amekufa badala ya kumfanyia PM kwa faida ya waliobaki wamemuwaisha kumzika
Kama asili yako ni huko lazima utakuwa umepitia majeshi mangi ya elimu na uelewa wa vitu vingi ama umeenda huko sii kwa ukilaza wa kukumbia hesabu na wajomnba zake PYSICS, CHEM, NA BIOS bali ulipasua vizuri lakini ukaenda huko kwa ajili ya hobby ama umemuelewa kwa msaada wa ILOVE YOU wa vijana wa siku hizi hasa vyuoni aitwaye GOOGLEHaha, hapana mkuu, mbona mimi nimesoma hizo hizo tu mkuu, inategemea na uelewa wa ntu na ntu.
We are supposed to be genetically engineered human..free from HIV,Ebola and Influenza.
Kwa kesi ya Covid:
Covid19 kama ndivyo inafanya basi protein na RNA za Covid zinapaswa kupewa instruction ya kuepuka kukamata Iron(Chuma) katika chembe nyekundu.
Kinachopaswa ni kitengeneza set of instruction..
bahati mbaya sikibahatika..Microbiology and Genetics ndio habari
Atengenezwe messenger RNA wa bandia na kupewa kazi maalumuWe are supposed to be genetically engineered human..free from HIV,Ebola and Influenza.
Kwa kesi ya Covid:
Covid19 kama ndivyo inafanya basi protein na RNA za Covid zinapaswa kupewa instruction ya kuepuka kukamata Iron(Chuma) katika chembe nyekundu.
Kinachopaswa ni kitengeneza set of instruction..
bahati mbaya sikibahatika..Microbiology and Genetics ndio habari
Nilikwenda kwa hobby tu mkuu O level nilichaguliwa PCB kwenda A level. Wakati mwingine naikumbuka ile nafasi.Kama asili yako ni huko lazima utakuwa umepitia majeshi mangi ya elimu na uelewa wa vitu vingi ama umeenda huko sii kwa ukilaza wa kukumbia hesabu na wajomnba zake PYSICS, CHEM, NA BIOS bali ulipasua vizuri lakini ukaenda huko kwa ajili ya hobby ama umemuelewa kwa msaada wa ILOVE YOU wa vijana wa siku hizi hasa vyuoni aitwaye GOOGLE
Kwamaana nyingine huyu covid anaweza kuwa genetically modifiedWe are supposed to be genetically engineered human..free from HIV,Ebola and Influenza.
Kwa kesi ya Covid:
Covid19 kama ndivyo inafanya basi protein na RNA za Covid zinapaswa kupewa instruction ya kuepuka kukamata Iron(Chuma) katika chembe nyekundu.
Kinachopaswa ni kitengeneza set of instruction..
bahati mbaya sikibahatika..Microbiology and Genetics ndio habari
kabisa !Tunataka report Kama hizi sio kutuambia Kuna mwanaume wamakamo katokea nchi za nje kaja na corona tunamshikilia kwa mahojiano zaidi