Post-Mortem: Kwa Nini JK Na CCM Wamepata Ushindi Mdogo


Superman

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2007
Messages
5,702
Likes
103
Points
160

Superman

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2007
5,702 103 160
Wana JF;

Tofauti na Uchaguzi Mkuu Wa 2005 katika Uchaguzi wa Mwaka huu 2010 JK amepata ushindi wa asilimia 61%+ ukilinganisha na 80%+ aliyopata 2005. Pia CCM imepoteza majimbo mengi kwa upinzani.

Je ni sababu zipi zilizopelekea kupata ushindi mdogo ukilinganisha na 2005?
 

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Messages
3,068
Likes
647
Points
280

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2010
3,068 647 280
Usisahau kuwa juzi tu wadau wamelalamikia wizi wa kura.Kifupi huo si ushindi ni kwamba ameshindwa kuchakachua zaidi kutokana na uelewa wa WATANZANIA KWA SASA.Hajashinda yule ameiba kura.Ushinndi wa wizi hata yeye ukimwangalia usoni unamuona roho yake inamsuta,tumuache atawale ili tumdhibiti kwa kuibua uporaji watakaofanya
 

Forum statistics

Threads 1,204,648
Members 457,389
Posts 28,165,432