Post kwa CalvinPower tu

Mawenzi

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,251
344
Halo Mkuu!!

Nimeshindwa kukutumia IMEI ya Huawei kwa njia yoyote ile, including kuku-PM. Nimeona nikutumie kwa njia ya THREAD. Samahani sana.

Model: E1550
IMEI: 359124034447644

Tafadhali naomba unlocking code yake.

Natanguliza shukurani
 
ucjilimiti hapa jamvini we weka utasaidia na wengi kwani si mda wote tupo hewani
 
nothing imposible undersun atatukitaka kujua upo wapi
Mkuu kumbe you have some ideas on that? mimi nipo kwenye ka-project cha ku deal na IMSI nafahamu kabisa kwamba cryptoscheme kwenye mobile phones inaweza kuwa bypassed. lakini nimekosa information za kutosha. how can you help me? Nilitaka kufungua New thread ili nipate michango ya watu ila hili jukwaa la Technology wachangiaji sio wengi. watu wanakwenda kwenye siasa tu.
 
mkuu nafikiri ni wakati sasa wakuweka nguvu pamoja hapa jamvini tuelimishane zaidi watu watahama kwenye majukwaa ya siasa, malavudave na kuamia kwenye taaluma zaidi na amini maxwelo watatupa thread maalum hapa tumwage maujuzi hapa
 
Wakuu DrPhone/KelvinPower, Shalom. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijaribu kuchakachua modem yangu ya Voda E220 ili iwe pia inaweza kutumia SimCard ya Zain/Airtel ili nami nifaidi Bundle za GB 400 za Zain. Pamoja na misaada na link zote ambazo nimetumia bado Modem yangu haijachakaluchika. Ninaanza kuamini kuwa hakuna mwanaJF ambaye ameweza kuchakachua modem yake ya E220. Kama yupona aseme amefanyaje.
Naomba kwa hisani yenu niwatumie tena IMEI yangu ya hiyo Modem ya E220 mnitumie UnLock Code yake halafu kama sio usumbufu mnifahamishe hatua kwa hatua kwa lugha nyepesi nini cha kufanya hadi pale Modem yangu ya E220 iweze kukubalipia Simcard ya Zain/Airtel. Natanguliza Shukurani kwenu.
IMEI ni 3 5 8 1 9 1 0 1 1 4 4 7 6 0 9
 
Mkuu modem yako ina firmware gani? je inauliza codes zozote? nilipost hii kitu hapa jaribu kudownload hizo software https://rapidshare.com/files/435558710/e220_Unlock_Pack.rar then fuata maelekezo haya https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=18144&d=1291762220. Modem yako haiulizi unlock so si rahisi kufungua kwa code request. Kuna namna ya kuzipata hizo code ya vile vile kuna namna ya kuziingiza. anza step by step na pale unapokwama tuma screen shot. so i may know where to help you. kupata screen short unapress print Screen kwenye keybord yako then unakwenda kwenye paint, then edit and save halafu unatuma hapa jamvin,.
 
mkuu nafikiri ni wakati sasa wakuweka nguvu pamoja hapa jamvini tuelimishane zaidi watu watahama kwenye majukwaa ya siasa, malavudave na kuamia kwenye taaluma zaidi na amini maxwelo watatupa thread maalum hapa tumwage maujuzi hapa
Mkuu ni kweli Maxwelo angeweka sticky threads za posti zinazofunguliwa upya kila mara, hata kama ilikuwepo. mfano CRDB, NMB, .. na benki zingine. Vilevile Vodacom,Tigo,Zain ili watu wanaofanya kazi huko wawe wanaingia huko na sisi tunapouliza maswali waweze kutujibu au ninapotafuta kitu niingie huko. juzi kwenye jukwaa la siasa mtu aliweka tangazo la kifo cha Remmy. thread ya kilimo mtu anafungua nae humohumo swali linalohusu ujenzi wa nyumba. hayo mambo yanayoulizwa mara kwa mara yangekuwa na sticky threads. nimeona threads za michezo zimekaa vizuri sana mfano ile ya aseno,manchesta, chelsii na nyingine nyingi tu.
 
babadesi pole na matatizo ya moderm yako, jaribu kufata maelekezo ya wakuu hao nayo itafunguka, mimi sasa nafurahia matumizi mbadala ya moderm yangu kutoka makampuni tofauti, kama ningepeleka kwa mtu anichakachulie angenipiga pesa kibao lkn nawashukuru wanajf, zamani nilijikita ktk jukwaa la siasa sasa hunambii kitu kuhusu jukwaa la sayansi na teknolojia.
 
Wakuu DrPhone/KelvinPower, Shalom. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijaribu kuchakachua modem yangu ya Voda E220 ili iwe pia inaweza kutumia SimCard ya Zain/Airtel ili nami nifaidi Bundle za GB 400 za Zain. Pamoja na misaada na link zote ambazo nimetumia bado Modem yangu haijachakaluchika. Ninaanza kuamini kuwa hakuna mwanaJF ambaye ameweza kuchakachua modem yake ya E220. Kama yupona aseme amefanyaje.
Naomba kwa hisani yenu niwatumie tena IMEI yangu ya hiyo Modem ya E220 mnitumie UnLock Code yake halafu kama sio usumbufu mnifahamishe hatua kwa hatua kwa lugha nyepesi nini cha kufanya hadi pale Modem yangu ya E220 iweze kukubalipia Simcard ya Zain/Airtel. Natanguliza Shukurani kwenu.
IMEI ni 3 5 8 1 9 1 0 1 1 4 4 7 6 0 9

Airtel hakuna kitu kama hicho mkuu, ni Mb 400 na siyo gb 400... Tena hizo 400 MB ni kwa wale tu wanao browsing kwa kutumia simu.
 
babadesi pole na matatizo ya moderm yako, jaribu kufata maelekezo ya wakuu hao nayo itafunguka, mimi sasa nafurahia matumizi mbadala ya moderm yangu kutoka makampuni tofauti, kama ningepeleka kwa mtu anichakachulie angenipiga pesa kibao lkn nawashukuru wanajf, zamani nilijikita ktk jukwaa la siasa sasa hunambii kitu kuhusu jukwaa la sayansi na teknolojia.

yan mkuu umeona kidole tu umeshukuru soon utaona mkono soon utaona mengi hapa ya kuelimishana
 
Mkuu ni kweli Maxwelo angeweka sticky threads za posti zinazofunguliwa upya kila mara, hata kama ilikuwepo. mfano CRDB, NMB, .. na benki zingine. Vilevile Vodacom,Tigo,Zain ili watu wanaofanya kazi huko wawe wanaingia huko na sisi tunapouliza maswali waweze kutujibu au ninapotafuta kitu niingie huko. juzi kwenye jukwaa la siasa mtu aliweka tangazo la kifo cha Remmy. thread ya kilimo mtu anafungua nae humohumo swali linalohusu ujenzi wa nyumba. hayo mambo yanayoulizwa mara kwa mara yangekuwa na sticky threads. nimeona threads za michezo zimekaa vizuri sana mfano ile ya aseno,manchesta, chelsii na nyingine nyingi tu.

nafikiri kuna haja ya kuwasiliana na mkuu maxwelo hope anapitia hapa
 
Wakuu DrPhone/KelvinPower, Shalom. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijaribu kuchakachua modem yangu ya Voda E220 ili iwe pia inaweza kutumia SimCard ya Zain/Airtel ili nami nifaidi Bundle za GB 400 za Zain. Pamoja na misaada na link zote ambazo nimetumia bado Modem yangu haijachakaluchika. Ninaanza kuamini kuwa hakuna mwanaJF ambaye ameweza kuchakachua modem yake ya E220. Kama yupona aseme amefanyaje.
Naomba kwa hisani yenu niwatumie tena IMEI yangu ya hiyo Modem ya E220 mnitumie UnLock Code yake halafu kama sio usumbufu mnifahamishe hatua kwa hatua kwa lugha nyepesi nini cha kufanya hadi pale Modem yangu ya E220 iweze kukubalipia Simcard ya Zain/Airtel. Natanguliza Shukurani kwenu.
IMEI ni 3 5 8 1 9 1 0 1 1 4 4 7 6 0 9

ninayo program ya kunlock direct bila code sijui nikusaidieje natumai hyo ingekuwa raisi zaidi kwako kama aikuambii uingize code
 
Back
Top Bottom