Post ipi imekufurahisha zaidi mwaka huu?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,081
156,733
JF kuna post nyingi za kufurahisha kwenye majukwaa yake mbalimbali.
Binafsi nlifurahishwa sana na post ya utambulisho wa dabo diff.
Naamini ni wengi walifurahishwa nayo ndiyo maana ilipata wachangiaji lukuki
 
Naomba hiyo linki ya dabo diff. Sikuichangia maybe nilikuwa sipo jamvini mda mrefu. Ni Yule baunsa Wa 7th floor? Au ni dabo diff ya gari?
 
JF kuna post nyingi za kufurahisha kwenye majukwaa yake mbalimbali.
Binafsi nlifurahishwa sana na post ya utambulisho wa dabo diff.
Naamini ni wengi walifurahishwa nayo ndiyo maana ilipata wachangiaji lukuki
Mimi binafsi kuna post nyingi sana zilizonifurahisha sana mwaka huu! Nikiboreka tu, nakimbilia JF mambo yanakuwa safi!!
 
Back
Top Bottom