Post graduate ina maana gani?

Wakuu poleni na mihangaiko.samahani waungwana nimekua nikipata shida sana kutokana na hili neno post grafuate.hivi hii Ni ngazi gani ya elimu? Yani ina maana gani?
"Post" maana yake "after"
"Graduate" kutunukiwa shahada ya kwanza 'Bachelor degree "
Kwahiyo "Postgraduate" ni shahada za juu baada ya kupata shahada ya kwanza kama: Postgraduate diploma, masters, PhDs zote hizi ni Postgraduate degree
 
Kuna maana kadhaa kutokana na mazungumzo.

1. Post graduate inamaanisha Elimu ya Juu ya Degree ya awali. Inaweza kuwa Masters, PhD, Ass. Prof. Au Prof. Na kinyume chake ni Under graduate ambapo ni Elimu chini ya Degree

2. Pia kuna Post graduate Diploma. Hii ni Qualification. Ambayo ni Elimu ya juu ya Degree ya awali lakini haizidi Degree ya pili ( Masters) kwa kifupi Post graduate diploma inawaiana na Masters Degree.
 
Kwahiyo tunaweza kusema kusema postgraduated ni ndogo kuliko masters ?
Ukisema hivyo unakosea, postgraduate ni masomo ambayo unachukua baada ya kumaliza bachelor (degree ya kwanza), kwa hiyo
1. mtu wa masters,
2. postgraduate diploma na
3. PhD wote hawa wako katika kundi la postgraduates kwa sababu tayari walishasoma degree ya kwanza.

Masters iko ndani ya postgraduate studies, kwa hiyo huwezi kusema postgraduate ni ndogo kuliko masters.
 
Daaah hili sasa wazo jipya kabisa tena.ina maana kama postgraduate iko ndani ya masters hii inaashiria kwamba masters ni ndogo kuliko postgraduate? Au postgraduate degree tunaweza kusema kwa jina lingine ndiyo masters???
 
Sikiliza ndugu, chuo kikuu kuna udahili wa aina mbili
(1) undergraduate programme
(2) postgraduate programme
Sasa tuanze na UNDERDRADUATE PROGRAME
Hizi ni course zote ambazo hazijavuka level ya degree. Mfano vyuo vikuu vingi vina programme za undergraduate kama Certificate ni Clinical Medicine, Certificate in Phamacy, Certificate in law, Diploma in Clinical Medicine, Diploma in Community Development, Diploma in Law, Diploma in Education, Advanced Diploma in Accounts, Advanced Diploma in Accounts, Bachelor of Education, LLB, Bachelor of Arts with Education etc......
POSTGRADUATE PROGRAME
Hizi sasa ni programme za wachache, kwa maana kwamba ili uweze kuchaguliwa kusoma hizi course lazima uwe una shahada yako mkononi. Kama huna degee hapa huna sifa. Mfano wa course zinazopatikana hapa ni Postgraduate Diploma in Education, Postgraduate Diploma in Law, Masters of Education , LLM, Masters of Community Development, PhD in Education, PhD in Law etc
NB: Sifa ya kujiunga na Postgraduate Diploma mpaka uwe na degree yako mkononi (Hii inamaanisha postgraduate diplomà in kubwa kuliko bacjelor degree), sifa ya kusoma Masters degree ni either uwe na bachelor degree au Postgraduate diploma. Sifa za kujiunga na PhD unatakiwa uwe na Masters Degree. Nimejaribu kukuelewesha ndugu yangu ila ujuzi wangu umeishia hapa wengine wataongezea...
 
Na tofauti kati ya Postgraduate Diploma in Education na Master's degree in Education ni ipi ?
 
Kweli mkuu umejitahidi sana kunifumbua sasa nina uelewa juu wa hili jambo ubarikiwe sana .
 
Na tofauti kati ya Postgraduate Diploma in Education na Master's degree in Education ni ipi ?
Kwa jinsi alivyoelezea hapo juu naweza kuzitofautisha kwamba ili usome masters degree unapashwa uwe na postgraduate/ bachelor.hii ikiwa na maana post graduated diploma ni ndogo kuliko masters degree in education.
 
Quick Aid:

Academic level..

1. Undergraduate studies level:
- Certificate
- Diploma
- Bachelor (First degree)

2. Postgraduate studies:
- certificate
- Diploma
- Masters (Second degree)
- Ph.D ( Third degree, research degree). Completing Third degree automatically you're a Dr.

Academic teaching jobs/kazi
-Teacher
-Tutorial Assistant (T.A)
-Lecturer
-Senior Lecturer
-Assistant Professor
-Associate Professor
-Full professor

NB:
1. An postgraduate certificate is higher than the first degree, it build upon the bachelor, everything continues in order.

2. A professor is a Ph.D holder, Ph.D is highest rank of university degree( an advanced degree), professorship is a highest rank of university job

Ph.D highest academic level (3 degrees)
Professor highest academic teaching level (3 degrees+ distinguished publications, research papers, etc)

Summary:
Dr. (Ph.D) highest academic level
Professor highest academic job
 
Daaah hili sasa wazo jipya kabisa tena.ina maana kama postgraduate iko ndani ya masters hii inaashiria kwamba masters ni ndogo kuliko postgraduate? Au postgraduate degree tunaweza kusema kwa jina lingine ndiyo masters???

Mkuu mbona unakichwa kigumu hivyo?
 
Quick Aid:

Academic level..

1. Undergraduate studies level:
- Certificate
- Diploma
- Bachelor (First degree)

2. Postgraduate studies:
- certificate
- Diploma
- Masters (Second degree)
- Ph.D ( Third degree, research degree). Completing Third degree automatically you're a Dr.

Academic teaching jobs/kazi
-Teacher
-Tutorial Assistant (T.A)
-Lecturer
-Senior Lecturer
-Assistant Professor
-Associate Professor
-Full professor

NB:
1. An postgraduate certificate is higher than the first degree, it build upon the bachelor, everything continues in order.

2. A professor is a Ph.D holder, Ph.D is highest rank of university degree( an advanced degree), professorship is a highest rank of university job

Ph.D highest academic level (3 degrees)
Professor highest academic teaching level (3 degrees+ distinguished publications, research papers, etc)

Summary:
Dr. (Ph.D) highest academic level
Professor highest academic job
Safi kichwa kimeshafunguka kabisa kabisa
 
Na tofauti kati ya Postgraduate Diploma in Education na Master's degree in Education ni ipi ?
Postgraduate diploma haina dissertation, kuna baadhi ya nchi mfumo wao unaruhusu kwa wanaosoma pgd kuamua kufanya dissertation na kupewa masters.
 
ngoja nijaribu kuelezea kwa uwelewa wangu post graduate husomwa kama hujafikisha pass mark au GPA ya kusomea masters flani
 
Back
Top Bottom