Post bango dhidi ya malipo ya DOWANS

victorjiwe

Senior Member
Sep 26, 2011
109
17
Je ukiambiwa uandae bango dhidi ya malipo ya DOWANS vipi BANGO lako likoje. LIDROP HAPA kama vipi. La kwangu kama hivi.
HALI NGUMU ROSTAM,LOWASSA NA MSABAHA JILIPENI WENYEWE WANANCHI HATUNA PESA.
 
'tunapumulia mashine, na mrija mnaukanyaga!'

'eti sikivu, sikivu kwa wezi!'

'nyie mngekua kama sisi mngefanya hivyo?'

'hatuna uhakika na kesho vipi leo tunajiibia'

'ni aibu kwa kiongozi wa leo asieijua kesho'
 
Munafahamu kwangu pakavu Tia mchuzi lakini bado munatukamua tu! Ni lini mtatuachia fupa letu au bado hamjaridhika na supu lake!!
 
Kaeni pembeni tumewachoka,
Inawezekanaje Dowans kulipwa wakati tunalala giza,
Katu hatuweza kuwavumilia mafisadi nyie,
Watanzania tumepevuka sasa ondokeni hamtufai,
Enyi mafisadi mbona hamna huruma,
Tunawavua magamba sisi wenyewe,
Epa, meremeta, dowans, hatutaki kusikia tena tz
wamkuu hapa nilikuwa najaribu kuandika jina la nkwere kwenye bango langu
 
'tunapumulia mashine, na mrija mnaukanyaga!'

'eti sikivu, sikivu kwa wezi!'

'nyie mngekua kama sisi mngefanya hivyo?'

'hatuna uhakika na kesho vipi leo tunajiibia'

'ni aibu kwa kiongozi wa leo asieijua kesho'

Mkuuu hii imetulia sana sana.Ngoja nimngoje Mwita25 na kundi lake waje wasema kitu hapa .
 
HATIMAE WATANZANIA WOTE WAHEMEA MATAMVUA.
Dowans walipwe na...
Jk
Rostam
Ngereja
NEC.
USTAARABU HAUJI BILA MTUTU.
 
Je ukiambiwa uandae bango dhidi ya malipo ya DOWANS vipi BANGO lako likoje. LIDROP HAPA kama vipi. La kwangu kama hivi.
HALI NGUMU ROSTAM,LOWASSA NA MSABAHA JILIPENI WENYEWE WANANCHI HATUNA PESA.
JK, Tanzania ni maskini kutokana na matatizo kama haya ya Dowans.
 
Kwa la dowans haki haitapatikana mahakamani kwani Mwizi,Mlinzi namchunga haki (Dowans, Serikali ya JK na Mahakama) wameshirikiana kuwaibia wananchi
 
94,000,000,000/= Kwanini?
Me Mfukoni nina 12550/= Tu Nadaiwa Ada Ya Mtoto, Tumbo Tupu. Sijanunua Luku Bado.

Ewe Dowans Nihurumie
 
1.Mali ya dhuluma ni laana

2.Mmetufanya sisi wajinga mnatuibia mchana kweupe

3.Tumewashika hata mkifa leo mbinguni hamuendi na makaburi yenu yatajibu mashitaka.
 
Kwenye Richmond ,Downs Lwassa ni mbuzi wa kafara tu,lakini tunaekoelekea ni pazuri karibu tutajua nani mwenye huu mzigo maana watanzania wengi wana fikra za kupandikizwa na wana siasa ukweli hawaujui,
 
Back
Top Bottom