Possible flaw in ezypesa system ????

Kurt godel

JF-Expert Member
Jan 11, 2017
319
173
Katika kuchunguza chunguza kwangu nime notice kitu strange kuhusu ezypesa

Nilivyofanya hzi steps zifuatazo
1)dial *150*02#
2)chagua option 9 ya account yangu
3)chagua option two ya kubadilishwa password
4)Then type something wrong for the now password and new password

What happened next ni kwamba ezypesa walituma message ya kusema kuwa the password is wrong
Lakini in the message wali reveal my previous password

Now the good thing ni kwamba Kama ulishawah ku change then haitaonyesha mpya but Kama hujawah change then my yoyote akiipata laini yako anaweza kujua password yako na kubadilishwa

Nime test laini moja tu ila Kama una line ya zantel na ume register ezypesa unaweza try ku check Kama am right or wrong
 
Screen shot
 

Attachments

  • Screenshot_20171109-200421~2.png
    Screenshot_20171109-200421~2.png
    7.2 KB · Views: 38
Back
Top Bottom