Positive Living with reminders

Senksi dadangu...
"I'm out to change myself today...."
 
Thanks Pearl dear., unaweza kuikopi na kuipaste hapa ili wengi zaidi waione? nimeipenda ile kila mtu anafikiria kubadili ulimwengu lakini hakuna anayefikiria kujibadili yeye mwenyewe! LOL
 
Asante sana jimama kwa maneno yako matamu na ya busara.
nakutakia siku njema, wewe na mumeo BUJIBUJI
 
Thanks Pearl dear., unaweza kuikopi na kuipaste hapa ili wengi zaidi waione? nimeipenda ile kila mtu anafikiria kubadili ulimwengu lakini hakuna anayefikiria kujibadili yeye mwenyewe! LOL
taratibu ndugu...!BADO SIJAFA:D:D
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom