Posho za maaskari kulikoni, tarehe 30 imeshapita au tumeishiwa

Hali imekuwa ngumu sana, posho hutolewa tarehe 30 ya kila mwezi hata hivyo ilikuwaga tarehe 15 ikabadilishwa ili kuwapa muda wa kufanya kwa ufasaha, sasa leo tarehe 4 hamna posho, kulikoni, kama mfuko umeishiwa tuambiwe basi tujue hamna hela ili tutafute maisha mbadala.
Ongeza sauti
 
Wewe kuro uliyetolewa malinda na Nyani halali yako ni mshahara, posho ni hisani tu. Anzisha plan B urahisishe maisha. Kwani watumishi wote wa Tanzania wanalipwa posho?

Ninavyojua mojawapo wa maadili ya askari ni uvumilivu na usiri. Wewe ni askari gani usiye na maadili!!
 
mkuu,punguzeni matusi
 
Naamini wewe ni askari ,mke wa askari au mtu anayemdai askari. Huko kwenye majeshi kuna utamaduni wake. Unadhani humu Jf hakuna askari wenzako?. Kwanini ni wewe tu ndio umeanzisha thread? Unadhani wengine hawawezi kulianzishia thread?.
Hivi unajua kua unamdhalilisha ijp wako kwa mhe rais?.
Kwanini unasema anamdhalilisha IJP au ni askari wa Jeshi la polis peke yao ndo wanapewa posho tofaut na majesh mengine? Tufungue macho hapo mkuu
 
mkuu,punguzeni matusi
Anaudhi sana huyo mtoto. Wengi tunajua askari hajisaidii haja ndogo wala kubwa kwa sababu ya staha wanayokuwa nayo wakitaka kujisaidia. Hivyo ukimuona askari anajiasaidia hadharani tena akiwa in uniform lazima ushangae.

Na huyu kuanika shida zake hapa jukwaani sidhani kani ni maadili mazuri kwa askari. Hivyo inatakiwa atakunwe sana ili asirudie huu ujinga wake.
 
Nitukanie mkuu.

Usingemtukana wewe, ningefungua kinywa changu kumtusi mimi mwenyewe.

Hana adabu wala maadili huyo recruit.
 
Matraffic wanakula tuu vichwa barabarani,wake nyange nyange weupe sidhani kama wanagusa mishahara yao.
 
Hali imekuwa ngumu sana, posho hutolewa tarehe 30 ya kila mwezi hata hivyo ilikuwaga tarehe 15 ikabadilishwa ili kuwapa muda wa kufanya kwa ufasaha, sasa leo tarehe 4 hamna posho, kulikoni, kama mfuko umeishiwa tuambiwe basi tujue hamna hela ili tutafute maisha mbadala.
Posho shs ngap????
 
Naamini wewe ni askari ,mke wa askari au mtu anayemdai askari. Huko kwenye majeshi kuna utamaduni wake. Unadhani humu Jf hakuna askari wenzako?. Kwanini ni wewe tu ndio umeanzisha thread? Unadhani wengine hawawezi kulianzishia thread?.
Hivi unajua kua unamdhalilisha ijp wako kwa mhe rais?.
Kudai haki yako ni kosa?, kwani hizo posho si ni pesa za walipa kodi, kuna ubaya gani raia kuzijua......ndio maana askari wengi hawana akili, sababu ni hii
 
Hali imekuwa ngumu sana, posho hutolewa tarehe 30 ya kila mwezi hata hivyo ilikuwaga tarehe 15 ikabadilishwa ili kuwapa muda wa kufanya kwa ufasaha, sasa leo tarehe 4 hamna posho, kulikoni, kama mfuko umeishiwa tuambiwe basi tujue hamna hela ili tutafute maisha mbadala.
Hapa TISS maisha ni bamu bamu ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Wewe kuro uliyetolewa malinda na Nyani halali yako ni mshahara, posho ni hisani tu. Anzisha plan B urahisishe maisha. Kwani watumishi wote wa Tanzania wanalipwa posho?

Ninavyojua mojawapo wa maadili ya askari ni uvumilivu na usiri. Wewe ni askari gani usiye na maadili!!
Maadili na njaa wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom