Posho ya chakula na malazi ya wanavyuo imeongezwa migomo itaisha vyuoni?

Subirin turudi semester ijayo utakuta accomadation imepanda chakula nacho kitapanda bei kwa kisingizio cha kuongezwa pesa na utakuta maisha yanarudi palepale mi nahisi itakua afadhali ya jana kuliko leo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom