Portugal claims back Zanzibar Islands after 200 yrs (watch out)

Jul 30, 2012
10
0
We have Muzungus here getting us ready to convice people that we Can become Europeans if we agere with Portugal that Zanzibar was just stolen by force with the hungry Omanis, Wana ushahidi wa furaha waliokuwa nayo Babu zetu enzo zao hapa.

Katik mifano ya maendeleo na furaha wanaongelea mchezo wa ng'ombe Pemba Kamal ni Urihi wa furaha na upendo kwa wote, Pia Ngome kongwe Old Fort Kuwa ni Portoguese.

Ikiwa kunamuitukio kwa wananchi basi wanasema lolot linawezekana.
 
Wönders shall never end,embu nijigeuze nipate pozi zuri la kupumzikia weekend,
 
We have Muzungus here getting us ready to convice people that we Can become Europeans if we agere with Portugal that Zanzibar was just stolen by force with the hungry Omanis, Wana ushahidi wa furaha waliokuwa nayo Babu zetu enzo zao hapa. Katik mifano ya maendeleo na furaha wanaongelea mchezo wa ng'ombe Pemba Kamal ni Urihi wa furaha na upendo kwa wote, Pia Ngome kongwe Old Fort Kuwa ni Portoguese. Ikiwa kunamuitukio kwa wananchi basi wanasema lolot linawezekana.
Mtu akiwa mvivu sikuzote anapenda kubebwabebwa na wengine.
Atatumia hata sababu za kijinga kuhalalisha hilo.
 
Sio kila mzungu ana akili timamu/nzuri kama waafrika wengi tunavyodhani, ukweli ni kwamba sisi waafrika tumekosa kujiamni tuu, lakini tuna akili nzuri/timamu na busara. Sio kila kauli ya mzungu inafaa kuipa uzito. Huyo mzungu mreno lazima atakuwa kavuta bangi. Mchunguzeni vizuri.
 
Join Date : 30th July 2012

Posts : 8

Rep Power : 310

Likes Received:0
Likes Given:3
Ukikua utaacha tu hapa ni Great-Thinkers
 
Huyo angefanya dili na uamsho tu,mambo yangejipa,sasa kaenda kuwashtua wachaga wa zenji akategemea matokeo tofauti?zaidi kaishia kuanikwa humu,
 
We have Muzungus here getting us ready to convice people that we Can become Europeans if we agere with Portugal that Zanzibar was just stolen by force with the hungry Omanis, Wana ushahidi wa furaha waliokuwa nayo Babu zetu enzo zao hapa. Katik mifano ya maendeleo na furaha wanaongelea mchezo wa ng'ombe Pemba Kamal ni Urihi wa furaha na upendo kwa wote, Pia Ngome kongwe Old Fort Kuwa ni Portoguese. Ikiwa kunamuitukio kwa wananchi basi wanasema lolot linawezekana.

Atii? Ama kweli,ukistaajabu ya Mussa Utaona ya Firauni.
 
hawa jamaa ndo maana wanatuletea sana chokochoko kumbe wanategemea kuolewa au na mwarabu au mreno hahahaha kuweni wanaume bana tafuteni wenyewe sio kutegemea kutafutiwa tuuuuuu
 
Back
Top Bottom