PORT YETU YA DSM kichefuchefu


mwanatanu

mwanatanu

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2008
Messages
852
Likes
43
Points
45
mwanatanu

mwanatanu

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2008
852 43 45
JJamani kweli port yetu ni uwozo naomba wabongo pale U.K mkiweza mwulizeni huyo Mhe ana mpango gani kuhusu port yetu ya Dar.(nasikia mnakutana naye 18th aprill)

Nilipeleka mzigo ili kuanzisha mradi nyumbani na hapa napoishi wakazi wengi ni wa Zaire na Wa Rwanda na walinishauri nisitumie kabisa port ya bongo bali nitumie port eti ya manyan'gau.

Mimi kwa uzalendo sikukubali...mzigo umefika mimi nipo dar na likizo ya siku 25...imenichukua 34 days ku clear a container 20ft.

Ni maajabu nimelipishwa mapesa ya ajabu mpaka najuta imenirudisha nyuma 10 yrs.....Yaani sijawahi kuona unaenda TRA unaambiwa fulani wa kusaini hayupo rudi kesho. Tutafika kweli hawa viongozi wanaona hivi au vipi
 
Single D

Single D

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2007
Messages
459
Likes
5
Points
35
Single D

Single D

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2007
459 5 35
Kwa wale ambao hawajakumbwa na hayo matatizo hawajui UJIMA na UKABAILA huu uliopo hapo forodha na pale kitengo cha makotena geti namba 5 bandarini.Hapo bado usumbufu wa mawakala.
Duh kweli bado tuna safari ndefu.Tutaendelea kusikiliza ngoma ya kayamba hadi lini hapo bandarini?

Wengi wameona afadhali kupitishia mali zao bandari ya Mombasa maana hakuna ukiritimba.Kinachoshangaza ni kwamba haya mashirika yamekuwa ya watu na wala si kuhudumia umma tena.Hata sahihi za wahusika zinabinafisishwa kwa mtu mmoja na asipokuwepo njoo wiki ijayoooooooooooo,bul shit,kwa ukifa leo mbona kuna wengine wataweka sahihi kwa hizo docs...
 
BabaH

BabaH

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2008
Messages
703
Likes
7
Points
35
BabaH

BabaH

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2008
703 7 35
Haya yote yanatokana na Chama Cha Mafisadi (CCM) jamani, kwa sababu viongozi wanakula rushwa kubwa hivyo uwambia wafanyakazi wao wa chini, "chakarika tumia akili yako utakufa njaa hapa mjini" hiyo kauli ndo chanzo cha kuvunjika maadili ya katika taasisi za umma kwa sababu wakichukua rushwa viongozi wao hawasemi kitu na ndo mwanzo wa matatizo yote hayo

Tanzania ni hatari jamani, mimi nashindwa kuelewa hii kitu, na unakuta Viongozi wa CCM wapo????
Jamani hii ni hatari, ari mpya, kasi mpya, na nguvu mpya iliishia wapi??

Naomba rais akifika hapo UK aulizwe kuhusu hiyo slogan yake, imefia wapi? na nini kilichosababisha kufa kwa hiyo slogan jamani
 
Rufiji

Rufiji

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2006
Messages
1,753
Likes
263
Points
180
Rufiji

Rufiji

JF-Expert Member
Joined Jun 18, 2006
1,753 263 180
Tanzania inatia huruma kila kitu kimeoza . Mimi najiuliza where are we heading ? Inatia huruma kuona kila mtanzania anatumia Bandari ya Mombasa badala ya Dar ! Haya yote ni matokeo ya kuweka mafisadi mbele na kuweka tax zisizo na vichwa wala miguu . Nashindwa kuelewa kwa nini tunashindwa kumanage kila kitu ...besides tuna banfdari nyingine nzuri na natural pale Mtwara tunashindwa kutumia. Kuna jaama yangu mmoja aliniambia alipeleka Truck lake Dar alipoenda kulitoa halikuta jamaa wameiba kila kitu na baadaye watu walimfuata na kumuuzia huyo jamaa zile part zilizotoka kwenye gari yake.

Tatizo nini haswa ? What about our children what are they going to inherit ? Watu wa London mtusaidie jamani muulizeni huo muungwana hayo maswali .
 

Forum statistics

Threads 1,235,466
Members 474,585
Posts 29,223,107