Porojo za Jumapili: Hakuna tatizo la kibamia wala nini yapo makosa hufanywa wakati wa kuchagua mke au mume.

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,434
20,475
Binadamu katika makuzi yake huwa anapitia katika makuzi mbali mbali,mpaka hatua ya balehe, (puberty).

Wakati wa balehe mwanadqmu huyo mara nyingi hupitia katika hatua ya kutamani tendo la ndoa katika hali ya kupitiliza alkadhalika pia kwa kina dada wa rika fulani.

Hatua hii maalumu kwa utafiti wangu binafsi hujitokeza ili kijana wa kiume aweze kuchagua binti ambaye atafiti,au viungo vyao vitawiana kwa marefu na mapana, ili kuweza kufikia burudani maridhawa juu ya tendo hilo bila pande yoyote kulalama, ispokuwa tatizo la ulimwengu wetu wa sasa na mipaka ya mahusiano ambayo binadamu wanajipangia huwa nayo inaleta tafrani kidogo.

Infact hali ya balehe huja kwa wakati huo, ili kijana aweze kuzunguka wee huko na kule ili aweze pata kimfaacho.

Tatizo kubwa tulilo nalo kwa sasa ni kuparamia wakati mwingine magari makubwa kupitiliza. Dude la Juma wewe Felix utaliweza wapi ndugu yangu kama siyo baadaye kudharauliana na hatimaye bidada kuona kama unamsumbua tu.

Tafiti yakinifu!
 
mtoa mada, kwani hujawah kuskia habari za sisimizi kuua tembo.?

hayo hayo magari makubwa tutapambana nayo hata kwa kutumia vitendea kazi mbadala
 
mtoa mada, kwani hujawah kuskia habari za sisimizi kuua tembo.?

hayo hayo magari makubwa tutapambana nayo hata kwa kutumia vitendea kazi mbadala
its will be temporary!,but for longlasting loves and sex pleasure originality matters.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom