Popote mlipo Viongozi wa Simba SC haraka sana epukeni 'Hujuma' hii Kubwa iliyopangwa na Yanga SC

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Kocha wa Geita Gold FC ambaye pia ni mwana Yanga SC lia lia (kindakindaki) Fred Felex Kataraiya 'Majeshi' Minziro amepewa Maagizo maalum ya kuhakikisha Wachezaji wake ama wanawaumiza vibaya au wanawatafutia Kadi Nyekundu Wachezaji Bernard Morrison, Jonas Mkude, Meddie Kagere, Larry Bwalya na Shomary Kapombe.

Tafadhali nauomba Uongozi wa Simba SC au Member yoyote wa Jamiiforums ambaye ni mwana Simba SC 'awafowadie' hili Bandiko langu na walizingatie kwa Umakini mkubwa kwani aliyenihakikishia 'Umafia' huu anatokea ndani kabisa mwa Watu wa Yanga SC tena ni Mchezaji Mstaafu mwenye Heshima Kubwa Yanga SC na Tanzania nzima pia.

Msije kusema kuwa sikuwaambieni hili.
 
Wsi huwa unasema uko karibu na viongozi wa Ana?
 
Sio habari za kweli, ni ushabiki tu wa mechi za utani wa jadi, na hazijaanza kusemwa leo, ikitokea mchezaji akapewa kadi au akaumia zitakua ni sababu za kimchezo tu.
 
Kocha wa Geita Gold FC ambaye pia ni mwana Yanga SC lia lia (kindakindaki) Fred Felex Kataraiya 'Majeshi' Minziro amepewa Maagizo maalum ya kuhakikisha Wachezaji wake ama wanawaumiza vibaya au wanawatafutia Kadi Nyekundu Wachezaji Bernard Morrison, Jonas Mkude, Meddie Kagere, Larry Bwalya na Shomary Kapombe.

Tafadhali nauomba Uongozi wa Simba SC au Member yoyote wa Jamiiforums ambaye ni mwana Simba SC 'awafowadie' hili Bandiko langu na walizingatie kwa Umakini mkubwa kwani aliyenihakikishia 'Umafia' huu anatokea ndani kabisa mwa Watu wa Yanga SC tena ni Mchezaji Mstaafu mwenye Heshima Kubwa Yanga SC na Tanzania nzima pia.

Msije kusema kuwa sikuwaambieni hili.
Umeanza wenge lako, basi waambie wasiwachezeshe ili wasiumie! Kama geita gold tu inawapa kiwewe itakuwaje kwa timu ya wananchi
 
Kocha wa Geita Gold FC ambaye pia ni mwana Yanga SC lia lia (kindakindaki) Fred Felex Kataraiya 'Majeshi' Minziro amepewa Maagizo maalum ya kuhakikisha Wachezaji wake ama wanawaumiza vibaya au wanawatafutia Kadi Nyekundu Wachezaji Bernard Morrison, Jonas Mkude, Meddie Kagere, Larry Bwalya na Shomary Kapombe.

Tafadhali nauomba Uongozi wa Simba SC au Member yoyote wa Jamiiforums ambaye ni mwana Simba SC 'awafowadie' hili Bandiko langu na walizingatie kwa Umakini mkubwa kwani aliyenihakikishia 'Umafia' huu anatokea ndani kabisa mwa Watu wa Yanga SC tena ni Mchezaji Mstaafu mwenye Heshima Kubwa Yanga SC na Tanzania nzima pia.

Msije kusema kuwa sikuwaambieni hili.
WOGA TU....WOGA ULIOPITA KIWANGO.
 
@KEROZENE Mtaje huyo aliekwambia ili tuamini
 
Simba wanadeka sana, wanafikia hadi kumdekea Geita. Wala sato vs wala ndimu...itasomeka huko. Wanaume halisi (Geita) vs wanaume kivuli (Simba). Simba lia lia...wameanza tafuta sababu kabla hata ya mchezo wenyewe..pole sana simba
 
Back
Top Bottom