Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,438
- 1,026
Kwa wale wenzetu wa ukanda wa pwani;eti ni kweli kwamba popobawa huwa hataki watu wanaolala uchi wa mnyama na badala yake anapenda wale wanaolala wakiwa wamejijaladia kwa mavazi mengi kama vipande vya jeans,bukta nzito,tracksuits n.k.Popobawa anaamini yule mtu anaelala uchi anapenda kufanyiwa ule mchezo mchafu kwa hiyo yeye anaamua kumkomoa,hampitii kabisa.