Wananchi wa kitongoji cha Magoha wilayani Kilombero wamelalamikia serikali kushindwa kuwaondoa Popo waharibifu wanaowavamia kila mwaka na kusababisha uharibifu katika Minazi na mimea mbalimbali na kuwasababishia njaa.
Huko kilombelo kuna mtu anaitwa "Lijualikali"ni kamanda wetu na mpambanaji wa ukweli wananchi wafanye jitihada wawasiliane naye hope atasaidia kuwaunguza hao popo wahalibifu
Dawa ya popo ni mwanga inafaa sana kwenye makazi. njia nyinine wazibitiwe kwenye maeneo wanayojificha nyakati za mchana kama kwenye mapango na misitu minene.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.