Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kwa mujibu wa jarida la "TIME INTERNATIONAL MAGAZINE" lililotolewa hii leo, na kurushwa na vyombo mbalimbali vya habari.
Hongera pope Francis, ni miezi 9 tu tangu kuushika wadhifa huo.
Du mbona muda mfupi sana jamani wametumia vigezo gani? Si bora hata wangempa Kardinali Pengo ambae ni mpambanajiHii ni kwa mujibu wa jarida la "TIME INTERNATIONAL MAGAZINE" lililotolewa hii leo, na kurushwa na vyombo mbalimbali vya habari.
Hongera pope Francis, ni miezi 9 tu tangu kuushika wadhifa huo.
kuna watu humu kasheshe ya syria wakati inaanza tukawambia haitakua rahisi kumng'oa asad,wakabisha,leo miaka mitatu ngoma haijaeleweka.bashir Assad is a true man of the year
Wakristo wanawanyima Usingizi Makafir wa Allah kila kukicha.
Wakristo wanawanyima Usingizi Makafir wa Allah kila kukicha.