Pope Francis' Encyclical letter October 3, 2020

Magobe T

JF-Expert Member
Mar 19, 2008
4,621
2,567
Ukipata nafasi, soma hii barua ya Papa Francis iliyotolewa Oktoba 3, 2020. Inaitwa Fretelli Tutti (Wote ni Ndugu) Kuna mambo mengi ya kujifunza. Naambatanisha hapa chini.
 
Attachments

  • Encyclical letter - Fratelli Tutti October 3, 2021.pdf
    546.7 KB · Views: 4
Papa, huku Tanzania Kuna RAIS alisema hato onea mtu Wala kumbambikizia kesi mtu. Lakini sasa kambambikizia kiongozi wa upinzani kesi ya ugaidi, MBOWE hatatoka Hadi afie jela.
Tunagombana huyu RAIS umuweke kwenye maombi yako special ya novena ya Mtakatifu Rita
 
Mtakatifu Rita anaweza kutuombea kwa mambo mengi na sio kwa hako kabibi kenye roho mbaya

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom