Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,597
- 215,270
Pope Francis atakua ziarani Ireland kuanzia Kesho. Republic of Ireland is predominately a Catholic area.
Wakatoliki 100,000 wanategemewa kuwa barabarani kesho mjini Dublin kumlaki Baba Mtakatifu. Ziara hii ya siku mbili inasadikika kuwa tukio la mwaka kwa Ulaya 2018.
BBC World News