Pope Francis apitisha sheria mpya dhidi ya Makasisi katika Kanisa Katoliki

Status
Not open for further replies.

Cardinal06

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
963
326
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Baba Mtakatifu Fransis ametangaza kuwa maaskofu wa kanisa hilo watakaoshindwa kushughulikia makasisi waliokumbwa na hatia ya kuwanyanyasa kingono watoto wadogo wanaweza kuondolewa katika madaraka yao.

Sheria mpya ya Vatican iliyotolewa na Baba Mtakatifu Jumamosi inaonekana kuwa ni majibu yaliyotafutwa muda mrefu na wanaharakati wa kikatoliki nchini Marekani ambao walipinga walichokiona ni kushindwa kuchukuliwa hatua dhidi ya makasisi waliotenda uovu huo.

Agizo la Baba Mtakatifu limeweka wazi kwamba hata wale maaskofu ambao hawashutumiwi kuwanyanyasa kingono watoto wanaweza kuondolewa kwenye nafasi zao kama wataonekana wameshindwa kuchukua hatua na kulinda waumini wao kutokana na manyanyaso ya mapadri.

Maaskofu tayari wanauwezekano mkubwa wa kuwajibishwa au kupoteza nafasi zao za kazi kama sababukuu zitathibitishwa. Waathiriwa wa manyanyaso hayo nchini marekani na kwingineko duniani kwa muda mrefu wamelalamika kwamba baadhi ya maaskofu wanapuuzia au kuficha vitendo vya unyanyasaji ndani ya kanisa.

Chanzo: VOA Swahili
 
Sidhan make kanisa katorik hili hilo lina mkakati wa kuhimza ndoa za jinsia moja pamoja na kuruhusu utoaji wa mimba kwa akina dada likishinikiza kuwa kuzaaa ni hiari ya mtu na sio lazima...all those things are due to New World Order under one religion governing all nations under one conspirancy...na hata kama katamka hivo ila analitaftia kansa katorok kiki yavkuingilia ili aje alihadaeee kwa kutimiza lililo jema kwan yeye ndio anayeandaliwa kuwa kiongoz wa serikali na dini kidunia...
 
We ni mwongo.....
 
Umeandika mambo mengi sana hapo....hebu tuthibitishie moja baada ya jingine......la sivyo ww ni mmoja ya vilaza waliotajwa na dokta
 
Sidhan make kanisa katorik hili hilo lina mkakati wa kuhimza ndoa za jinsia moja pamoja na kuruhusu utoaji wa mimba kwa akina dada likishinikiza kuwa kuzaaa ni hiari ya mtu na sio lazima...all those things are due to New World Order under one religion governing all nations under one conspirancy...na hata kama katamka hivo ila analitaftia kansa katorok kiki yavkuingilia ili aje alihadaeee kwa kutimiza lililo jema kwan yeye ndio anayeandaliwa kuwa kiongoz wa serikali na dini kidunia...

We utakuwa muumini wa Anglican, siyo bure!!

Kanisa Catholic kufanya ngono kwa kondomu ni haramu sembuse kutoa mimba???? Ndoa za Jinsia moja????

Yaani unapayuka tu utafikiri wamekung'oa meno yote mdomoni...!!! Hivi umeelewa ulichoandoka?

BACK TANGANYIKA
 
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Baba Mtakatifu Fransis ametangaza kuwa maaskofu wa kanisa hilo watakaoshindwa kushughulikia makasisi waliokumbwa na hatia ya kuwanyanyasa kingono watoto wadogo wanaweza kuondolewa katika madaraka yao.

Sheria mpya ya Vatican iliyotolewa na Baba Mtakatifu Jumamosi inaonekana kuwa ni majibu yaliyotafutwa muda mrefu na wanaharakati wa kikatoliki nchini Marekani ambao walipinga walichokiona ni kushindwa kuchukuliwa hatua dhidi ya makasisi waliotenda uovu huo.

Agizo la Baba Mtakatifu limeweka wazi kwamba hata wale maaskofu ambao hawashutumiwi kuwanyanyasa kingono watoto wanaweza kuondolewa kwenye nafasi zao kama wataonekana wameshindwa kuchukua hatua na kulinda waumini wao kutokana na manyanyaso ya mapadri.

Maaskofu tayari wanauwezekano mkubwa wa kuwajibishwa au kupoteza nafasi zao za kazi kama sababukuu zitathibitishwa. Waathiriwa wa manyanyaso hayo nchini marekani na kwingineko duniani kwa muda mrefu wamelalamika kwamba baadhi ya maaskofu wanapuuzia au kuficha vitendo vya unyanyasaji ndani ya kanisa.
Chanzo: VOA Swahili
We mbuzi unajua sheria z Kanisa au ?
 
We mbuzi unajua sheria z Kanisa au ?

Duh taratibu mkuu....hyo ni taarifa iliyotolewa na VOA.....usijidhalilishe kwa kuanza kuporomosha matusi bila kusoma na kuelewa kilichoandikwa hapo.....tutakuona mmojawapo wa wale vilaza waliotajwa na dokta
 
Disciplinary action ndani ya kanisa, na hasa kanisa katoliki, siyo rahisi kuelewa kama hujui system na utamaduni wao. Watu wengi wanapengda Magufuli system, wawe wameona ameadhibiwa. Ukweli ndani ya kanisa adhabu ni nyingi, japo haziwekwi public lakini waliokaribu hasa waamini wanaweza kujua
 
"Kanisa Katoliki" haliwezi kamwe kukurupuka

Nmewaelewa vzuri.....hata hapa Tanzania kuna mapadr na watawa wengi tu wanapewa adhabu tena nzito....lakn hazitangazwi popote wala sababu ya adhabu hzo kwa undani hazitolewi.
 
Sidhan make kanisa katorik hili hilo lina mkakati wa kuhimza ndoa za jinsia moja pamoja na kuruhusu utoaji wa mimba kwa akina dada likishinikiza kuwa kuzaaa ni hiari ya mtu na sio lazima...all those things are due to New World Order under one religion governing all nations under one conspirancy...na hata kama katamka hivo ila analitaftia kansa katorok kiki yavkuingilia ili aje alihadaeee kwa kutimiza lililo jema kwan yeye ndio anayeandaliwa kuwa kiongoz wa serikali na dini kidunia...

toa uwongo wako hapo unajipalilia dhambi zisizo na ulazima tubu kwa uwongo unaoueneza
 
Huyu jamaaa nimegundua hana data za mambo ya dini huyu...udaku umemtawala....uliza wakupe shule watu wanaojua vuzuri mambo yaliyomo katika makanisa
 
Tulia chini uelewe, jua tofauti ya Anglikana na Katoliki sio kisa umesikia tu kanisa unakurupuka
 
Duh taratibu mkuu....hyo ni taarifa iliyotolewa na VOA.....usijidhalilishe kwa kuanza kuporomosha matusi bila kusoma na kuelewa kilichoandikwa hapo.....tutakuona mmojawapo wa wale vilaza waliotajwa na dokta
VOA Na secular media Ni kama huyo lofa , hawajui how God's church operates, wanadhani papa anaweza kutunga sijui sheria sijui kuruhusu kuoa, au ushoga. Lame.
 
Sasa unanitukana mm au hyo media??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom