Musundi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,583
- 2,600
Kila jambo lina mwanzoOf coz lkn naona kama vle kajishusha sana kupitiliza. Sijawah kuona kitendo hicho akiwa anawaomba maraisi wengne watunze amani
...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila jambo lina mwanzoOf coz lkn naona kama vle kajishusha sana kupitiliza. Sijawah kuona kitendo hicho akiwa anawaomba maraisi wengne watunze amani
Imeandikwa "Heri wapatanishi....."Ajabu kweli hajasoma kwenye bible kuwa siku za mwisho kutakuwapo na vita??? Huo ni unabii lazima utimie hata kama angewabeba kichwani kile kilichotabiriwa lazima kitimie-mathayo 24:6,7
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepotea njia ndugu.....Hatimaye ametukubali waislam kuwa ndio dini ya haki na utulivu duniani.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatimaye ametukubali waislam kuwa ndio dini ya haki na utulivu duniani.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unataka kila mtu afanye alichofanya papa? Ndugu alichofanya papa Kwa wakatoliki wanaita unyenyekevu uliotukuka na unaweza Fanya hayo Kwa njia tofauti tofauti na mfano Gwajima alivyotoa maneno ya kejeri Kwa Pengo,uliona unyenyekevu wa PengoHahahaa....... Ile ni ibada mkuu ya ukumbusho wa Yesu alivyowaosha miguu wale thenashara.
Lete mfano kama wa Papa!
Kama umeangalia hio video vzr utaona yule jamaa wa pili na wa tatu waliinama kumzuia papa kufanya hivo, lkn yule jamaa la kwanza alirelax kabisa bila hofu yyt ile.Hapa inaonyesha kuwa hawa viongozi wa Sudan Kusini wamekosa adabu kabisa! Walichotakiwa kufanya ni kuinuka na kumzuia Papa kubusu viatu vyao na kupiga magoti mbele yake na kumwomba radhi!!!!
Hakuna unyenyekevu hapo, kanisa linapoteza mvuto na kesi nyingi za unyanyasaji wa kingono. Hawa jamaa wana mbinu nyingi sana, baada ya kuona hii picha unafikiri kuna jamii ya kichaga itamuamini mtoto atakae sema amefirw.a na padre? " kanisa ni jema na halibagui watu, ndomana hata papa amebusu miguu ya watu weusi "
MatakatakaUnakosea pa kuanzia. Huyo Jiwe wako ndiye chanzo cha hawa ulowataja kuwa "takataka"! Definitely nao hao "takataka' ni wa kulaumiwa, wanaogopa kufia kondoo wao, wanamtukuza "katili" kuogopa kufa! Hawataki kusema ukweli walioapa kuulinda, kuufia!
Na wewe umeandika mambo ya kipuuzi kabisa. Mleta mada amesema kitendo cha Papa kumbusu miguu Rais wa sudani kinaashiria nini? Wewe unaongelea watu weupe kuwabagua weusi? Kwani vita ya Sudani kusini wanapigana wazungu au? Acheni kuwatwisha wazungu kila mnapokwama kwenye maisha yenu. Waafrika ni watu waliolaaniwa hata kwenye biblia.Ungetuwekea na kapicha ka kusindikizia hili bandiko lako ungetisha sana maana si wote tulioshuhudia hilo tukio. Na hata kama amewabusu hiyo miguu yao, bado haiwezi kuondoa ile dhana ya watu weupe kujiona wao ni bora na hivyo kuendelea kuwabagua na kuwanyanyapaa watu weusi kwa sababu zao za kipuuzi.
Endelea kujiuliza na utakataka wakoUmeshapanic!
Na ndio maana najiuliza sana kwa kuwafikiria watu wa aina yako!
Pope Francis has kissed the feet of South Sudan's previously warring leaders during a two-day spiritual retreat at the Vatican.
"I am asking you as a brother to stay in peace. I am asking you with my heart, let us go forward," the 82-year-old pontiff said after he performed the rare gesture.
President Salva Kiir and his rival, the former rebel leader Riek Machar, clashed in 2013 leading to a civil war that left 400,000 people dead.
But they signed a peace agreement last year that brought the war to an end.
My take:
Hao viongozi wakitoka hapo na kuendeleza vita badala ya amani watakuwa na mwisho mbaya sana.
Usiombe mtumishi wa Mungu kushuka kwako kwa kiwango hicho ili ubadilike!
View attachment 1069387
View attachment 1069388
View attachment 1069486
Sent using Jamii Forums mobile app
======
Papa Francis abusu miguu ya Salva Kiir na Machar kuwasii waache vita
"Nipo chini ya miguu yako" Unaweza kutafsiri hivyo baada ya Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis kufanya kitendo cha unyenyekevu na kisicho tarajiwa baada ya kupiga magoti na kubusu miguu ya viongozi wanaohasimiana nchini Sudan Kusini, kuwahamasisha kuuendeleza mchakato wa amani.
PAPA FRANCIS AKIINAMA KUBUSU MIGUU VIONGOZI HAO.
Kwa mujibu wa shirika la habari la Deutsche Welle, Mwishoni mwa ziara ya kiroho ya siku mbili ya viongozi hao wa Afrika mjini Vatican, Papa Francis alimuomba rais wa Sudan Kusini Salva Kiir pamoja na hasimu wake Rieck Machar kuendeleza mazungumzo ya amani, licha ya kuongezeka kwa ugumu, na kisha alipiga magoti na kubusu miguu yao, pamoja na ya makamu wa rais Rebecca Nyendeng Garang.
Papa Fransic hufanya tendo la kitamaduni la kiimani la kuwaosha miguu wafungwa siku ya Alhamisi kuu, lakini hajawahi kufanya tendo kama hili kwa viongozi wa kisiasa.
Alisema mwishoni mwa ziara hiyo kwamba anataraji kusitishwa kwa uadui, mapigano, mgawanyiko wa kikabila na kurejeshwa kwa hali ya amani nchini humo.
Nimejaribu ku attach na video. Utaona viongozi wote walivyochanganyikiwa kwa tukio hilo. Inaogopesha sana kubusiwa miguu na mtu mishi wa Mungu kwa unyenyekevu namna hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana Kichwa pia kilichotumika Kukuzaa wewe!Mbowe ana miguu?!
Hahahaa....... Kupitia kwa mamayo!Ana Kichwa pia kilichotumika Kukuzaa wewe!
Ingekuwa hivyo ila kwavile ni wewe Kiazi basi umeishapata Jibu!Hahahaa....... Kupitia kwa mamayo!
Kwa kuongezea tu ili huyo mjinga ajue, Ulaya (wazungu) wenyewe walitawalana wao kwa wao kama walivyoitawala Afrika, lakini amewahi ona wakifeli masuala yao wanawalaumu waliowatawala?!Na wewe umeandika mambo ya kipuuzi kabisa. Mleta mada amesema kitendo cha Papa kumbusu miguu Rais wa sudani kinaashiria nini? Wewe unaongelea watu weupe kuwabagua weusi? Kwani vita ya Sudani kusini wanapigana wazungu au? Acheni kuwatwisha wazungu kila mnapokwama kwenye maisha yenu. Waafrika ni watu waliolaaniwa hata kwenye biblia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa liek na huyu saliva Ni watu Wa imani gani? Papa Ni mtu mkubwa Sana... naona huyo liek Kama alikua anataka kumkatalia
Sent using Jamii Forums mobile app