Wanaweza waka amua kutaka kumzuiya US asishambulie North korea na hilo ndio hasa US wanacho tafuta hapo walasio hao korea kaskazini ngoja tusubiri kuona.
Mbona vyombo vikubwa vya habari vya N/korea au Russia havijasema kama jana jumapili Kim Jong Un alitest silaha yoyote na ikafeli? Iweje taarifa hii iripotiwe na South Korea halafu ikafatia Pentagon(U.S) baadae China ambaye naye kamkariri U.S na South Korea kuhusu taarifa hizo. Tuwe makini tusikubali kirahisi kila taarifa zingine ni propaganda tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.