Poor waandishi na magazeti ya Tanzania!!?

Kama ni hivyo mkuu akubali kumweka Antipas kwenye jopo hilo
Hapa hatuzungumzii siasa ni kwa ajili ya mustakabali wa nchi, tuwe na think tanks wa serikali wanaofanya maamuzi sahihi kwa ajili ya nchi
 
Hakuna senti inayolipwa na mchanga watachukua..Hiyo siku mtamuelewa Lissu

CCM mmeiibia nchi hii mkishirikiana na wazungu...Leo mnakaa mezani muendelee kutuibia zaidi
 
Tamko LA Barrick ni kuwa kuna timu ya mazungumzo itaundwa kupata win win situation, sasa kauli ya bwana mkubwa kuwa wamekubali kulipa sijui kaitoa wapi na magazeti yanaibeba tuu

Yeye mkuu kajisemea tu. Unajua sisi Waswahili/Waafrika hatuchukulii kitu kauli kwa uzito wake.

RAIS kasema watakaa na Barrick wapitie mapendekezo ya Tume.

Lakini juzi alisema mapendekezo yote ameyakubali.

Kwa hiyo Rais anatamka tu vitu bila kumaanisha.
 
Nyie mnaojiita wapinzani wa Rais kuweni basi na akili hata kidogo. Ni aibu sana na sielewi kwa mwenendo huu 2020 mtakuwa wangapi Bungeni. very shame
Jibu hoja iliyoko mezani usilete mipasho.
 
IMG_20170615_082406.jpg
 
Usilaumu bure media, this is the source
Hivyo walichoripoti media ni walichoambiwa na mwenye mali, mmiliki mkuu!.

Paskali
Lakini Paskali sii kila siku hapa JF mnatuambia uandishi bora ni ule wa kupata habari na upande wa pili? Sasa mbona hawakufanya hivyo wakakubali kulishwa matango pori na Msingwa?
 
Fikra zako zinapendekeza gazeti linaweza kuandika "rais mstaafu afa ghafla"
Japo ni uongo lakini unaruhusa kutolinunua ili kui avoid habari???
Umezaliwa nje ya ndoa wewe sii bure!!
Umelewa ulichokiandika au unataka ziandikwe tu habar ulizo na mahaba nazo, mda mwingine uchungu wako wa nyuma ya keyboard usikufanye ulie sana as if una maanufaa makubwa ktk taifa
 
Upotoshaji aliuanza Bw.Gerson Msigwa, kwa kutoa taarifa ya uongo kutoka Ikulu..

Ila ukimsikiliza Thornton Mwenyewe, hakuna sehemu amezungumzia kuwa wamekubali kulipa.

======================================================
Prof Thornton Said:
"I have come here in order to help resolve the problem and I assure the President that we are interested in sitting down and reaching a resolution which is a win win (A win for Tanzania and a win for Barrick and our Subsidiary company, ACACIA)

After having these extensive conversations I feel very optimistic that we will reach a resolution which is a win win for all parties and we will be sitting down soon with a team designated by the President and our own team to go through the detail of that and I feel very good about the progress today."
=====================================
Wawili hawa kila mmoja wao ana hadhira yake. Raisi ameongea na watanzania na huyo Prof. Ameongea na wanahisa wake. Hajampinga Magufuli wala kumuunga mkono mia kwa mia kapiga diplomasia. Tusubiri mazungumzo lakini ni wazi amekuja yeye na kuna tutakacho pata ingawa sijui ni kiasi gani na kitatokana na kipengele gani. Lugha kali zidi ya Acacia sasa itaisha. Tuwe na team makini.
 
Umejiuliza wao wameandika Kutoka chanzo kipi? Ama unataka uache taharifa rasmi ya Ikulu uandike ya kwako yepi tena na kutoka wapi? Hebu jiulizeni misingi ya utawala ikoje kwanza.
 
Tatizo mnapenda kudanganywa. Rais kadanganya tena kadanganya wazi wazi.labda kama hamjui kiingereza
Sawa tunakubaliana na wewe Rais kadanganya. Hivi Kati ya ww hata ujumbe wa nyumba kumi hauna na Rais wetu tuliemchagua kwa Kura nyingi tumuamini Nani....!?? Huyo Mzungu mwnyw hakujui hata km upo dunia hii. Kakili kulipa ww na Roho yako mbaya unapinga. Warundi nyie mnawivu kweli kweli
 
Tatizo mnapenda kudanganywa. Rais kadanganya tena kadanganya wazi wazi.labda kama hamjui kiingereza

Yani kadanganya wazi wazi, yani winji winji!

I don't know if you are my age, lakini kama unamkumbuka Salum Kabunda Bwalya beki jambazi la Yanga, the dirtiest defender in the history of the country, lilikuwa linampiga mtu frankiki ya nyongo mbele ya refa, blantant foul, yani ni winji winji!

Toka saga lianze ACACIA wanafanya conference calls na watu wao Uingereza, wanabisha na kupinga vikali kwamba wame cheat kodi.

Haiwezekani three days later wakaibuka kusema zile ripoti na makanusho waliyokuwa wana file Uingereza ni uongo. Watafungwa huko UK.

Wenzetu wana fiduciary laws za kulinda wana hisa wasidanganywe. Barrick hawawezi kukiri kwamba walikuwa wanadanganya juzi tu kwenye makanusho yao. Absolutely impossible!
 
Umelewa ulichokiandika au unataka ziandikwe tu habar ulizo na mahaba nazo, mda mwingine uchungu wako wa nyuma ya keyboard usikufanye ulie sana as if una maanufaa makubwa ktk taifa
Huu wimbo huimbwa na wakubwa tu!!

Kwaherini watotooooo wote
Tuonane wikiiiiiijayo!!
 
Wawili hawa kila mmoja wao ana hadhira yake. Raisi ameongea na watanzania na huyo Prof. Ameongea na wanahisa wake. Hajampinga Magufuli wala kumuunga mkono mia kwa mia kapiga diplomasia. Tusubiri mazungumzo lakini ni wazi amekuja yeye na kuna tutakacho pata ingawa sijui ni kiasi gani na kitatokana na kipengele gani. Lugha kali zidi ya Acacia sasa itaisha. Tuwe na team makini.
Team Osoro mimi simo!!!
Na mtakachopata msinigawie
 
Back
Top Bottom