Poor MUHAS!! Lots of shame......Prof Pallangyo.....!!

unajua kinachonishangaza anapewa zoote hizi kwa lipi alilolifanya! (UDSM) COET nao watampa kwa kufanya vyema kwenye NISHATI ya umeme!

I hate to hear anything to do with JK, a bogus president in our history.
 
...sure kwa hiyo kuanzia leo nitakuwa naandika 'h.c Dr. Kikwete' na 'Slaa (PhD)' teh teh teh teh!!
 
Pallangyo ndo zake, tunaomjua hatuoni la kushangaza, ana mambo yake mengi ukiyasikia utazimia. Ngoja tufumbe mdomo tu:A S 109:
 
Huyu jamaa atabaki kuwa Luteni Kanali tu mpaka kufa maana hiyo ndo title yake, hizi doctorates uchwara ni mkakati maalum wa kujaribu kuitafuta ile tuzo ya Mo Ibrahim, aonekane ni mtu aliyefanya mambo makubwa sana kiasi cha kupata mvua za PhD.

Tuzo ya MO IBRAHIM ataisikia kwenye bomba tu.
 
Huyu jamaa atabaki kuwa Luteni Kanali tu mpaka kufa maana hiyo ndo title yake, hizi doctorates uchwara ni mkakati maalum wa kujaribu kuitafuta ile tuzo ya Mo Ibrahim, aonekane ni mtu aliyefanya mambo makubwa sana kiasi cha kupata mvua za PhD.

Kwa ni ni watu hawataki kutumia title zao halisi. Tunamkumbuka Nyere ambaye mpaka anakufa alitumia Mwalimu kwa sababu ndo kazi alosomea na kuifanya mpaka akaingia kwenye siasa. Huyu mtu kama ni Luteni Kanali, Kwa nini asitumie title yake aliyosotea akaipata anang'ang'ania title ambazo watu wamesotea na kuzipata kihalali?

Kama shida ni kuitwa Dr., aende shule.

Sasa naona amekaa kimya kuhusu kufananishwa na Mungu hukoS'wanga. Ndani ya miaka miwili utasikia akitwa Mungu JK. Au ikishindikana ataanza kuitwa Askofu kama jamaa mmoja alivyotoa kwenye hii thread. Wengine wanaweza wakabisha ila tusiwe wasahaulifu kwani si alishawahi kuitwa chaguo la Mungu? Hamuoni kuwa huo ni mchakato wa kuelekea kupewa uaskofu wa heshima? Na kupewa uaskofu lazima uwe pastor hivyo mchakato utajumuisha kupewa upastor wa heshima.

Hebu nijaribu kuandika title yake itakavyokuwa, Hon. President, CCM Chairman, Ex AU chairman, Dr., Bishop, Rev., Alhaji, Lt. Col.,
 
GO9G9231.JPG

The awarding of an honorary degree to political figures almost always prompts protests from faculty or students. To my surprise this was not the case for our reputable Muhimbili University of Healthy and Allied Sciences during the ceremonial award of honoris causa to Mr Kikwete. In most of the developing worlds, students and faculty chose to boycott the commencement ceremonies. I am ashamed of being an alumni of MUCHS by then.

Rev Masa will narrates this with examples, In 2001 George Bush received an honorary degree from Yale University where he had earned his bachelor's degree in history in 1968. Some students and faculty chose to boycott the university's 300th commencement. In 1985 as a deliberate snub the University of Oxford voted to refuse Margaret Thatcher an honorary PhD degree in protest against her cuts in funding for higher education. This could as well be done with MUHAS in Protest of Bajaj to substitute ambulances as Mr Kikwete was advocating during his campaign rally.

More recently, Arizona State University's President Michael M. Crow refused to give an honorary degree to U.S. President Barack Obama for his perceived lack of adequate qualifying achievements thus far.

To avoid political alignments reputable universities do not offer these honorary degrees. Some universities, like the Massachusetts Institute of Technology, Cornell University, Stanford University, the California Institute of Technology, Rice University and the University of Virginia, do not award honorary degrees. Hawataki jipendekeza kwa wanasiasa uchwara as Mr Kikwete is trying to impress.

Another controversy na hizi degree za kupewa rafiki yake Mr Kikwete, anatakiwa anyang'anywe degree alizopewa. EDINBURGH University in Scotland and the United States' University of Massachusetts and Michigan State University are considering recalling the honorary doctorate of laws degrees they conferred on Robert Mugabe.

Mr Kikwete should not fool himself is that smart. Recipient of these degree za kupewa may if they wish adopt the title of "doctor". Written communications where an honorary doctorate has been awarded may include the letters h.c. after the award to indicate the status. I am told Mr Kikwete is found of the prefix Dr he is always insisting for the tittle. Mr kikwete can only be correctly addressed as h.c Dr Jakaya Kikwete and Not Dr Kikwete hapo tunaharibu maana ya PhD ya kusomea.

Muhimbili you could do better other than awarding this honoris causa to this underachiever Mr Kikwete.

Rev Masa K

Ref: various sources

h.c = hana chake.
Tatizo ni kuwa Tanzania kila kitu kinaambatanishwa na siasa. Kumbuka yaliyowafika MUHAS walipogoma kwa kutetea haki na maslahi yao, jina la kwanza walilopewa ni "wauwaji", wasiojali wananchi, lakini bila kufikiria kuwa serikali ni wauwaji pia kwani ndiyo ya mwanzo kutojali wananchi. Mimi naamini kuwa kama siku ile wangelisusia, wangelifukuzwa kwa "kumdharau na kumdhalilisha [muechimiwa]". Lingelikuwa jambo la busara sana kama wangelisusia kukabidhiwa cheti hicho, lakini kwa bahati mbaya, kwa sababu ya viongozi wetu na kwa sababu ya woga wetu wenyewe, demokrasia ya Tanzania haijakuwa kiasi cha kuruhusu uhuru wa maoni.
 
Hivi hata anaelewa maana ya PhD? Anajua jinsi watu wanavosota nayo na kusumbuka kuipata hio PhD? Watu wanalala na kukesha maabara, library na kuzunguka kutafuta data...! Kusota na demands za research supervisors? Indeed PhD requires a person to have academic or social contribution that has never been done before by another person...!

Ni kitu gani kipya alichokifanya? Labda nakubaliana na wazo kwamba ni raisi wa kwanza afrika kufanya safari nyingi za nje kwa kipindi kifupi kuliko raisi yoyote yule...! Kwa hilo anastahili PhD...! Indeed, professorship...!
 
Kithuku umejifanya kuuwa madaktari hapo juu kuwa wanaingialia kazi za kingwini na kuwa hawana lolote kama zamani. Uliumizwa nini? Let me declare conflict of interest. Mimi ni daktari nafanya kazi ya Kingwini na ninamake milioni 15 kwa mwezi and going up less than ten years tangu nigraduate. Hili ni jasho langu sijala rushwa ya mtu hata shilingi moja and I am proud of what I do.

Wewe kama ngwini unaweza kumtibu hata mgonjwa wa mafua? Hapana huwezi! Mimi naweza kutibu anytime na pia naweza kufanya Ungwini. Wewe unaonaje hiyo multitask?

Acha roho za korosho. Hao madaktari wanaowahudumia Watanzania wanafanya hivyo kwa moyo wa huruma serikali yenu inachojua ni kunua maV8 ilikukomoa watanganyika zaidi na akipata tu mafua anakimbilia Ulaya kwa kodi zenu (hii ni kwa sababu mimi silipi kodi).

Kitu manachotakiwa kujua ni kuwa soko limebadilika. Siku hizi mwajiri sio serikali peke yake, watu ambao ni daring and wenye AKILI kama madaktari wanaweza kufanya chochote wanachotaka. Nasema hivyo kwa vile wakati tunaingia Med School miaka hiyo top cream ya PCB Bongo ilikuwa inatua Muhimbili. Hawa ni watu ambao wakiamua wanafanya lolote including Ungwini na mzagazaga yote. Sasa wakiamua usiwatoe uchawi Mchawi ni Mkwere na serikali yake.

Kuna mfukunyuku mwingine kasema madaktari vilaza wamepasua kichwa badala ya mguu. Medical errors zipo kila mahali duniani. Na daktari mmoja kufanya kosa haina maana madaktari wote ndo wabebe hizo lawama. Mbona sijaona mnatukana maengineer maana majengo yamebomoka au barabara inajengwa huku inabanduka kabla ya mwezi kwisha? Acheni uzandiki.

Degree aliyopewa Mkwere ni yake na Palangyo, wamekubaliana wenyewe mtu na bosi wake sisi haituhusu na kama unataka maoni yangu ningemnyang'anya. By teh way hiyo ni degree ya MUHAS na mimi ni graduate wa MUCHS part ya UD kwa hiyo wala sio chuo changu. Sina vinasaba na PhD feki ya luteni kanali.

Natumaini Kithuku na wenzio mmeelewa. Tutapambana huko huko kwenye faranga maana uwezo, sababu na nia tunayo. Haimake sense kujifanya napasua watu halafu unalipwa hela haitoshi hata mafuta ya gari kwa wiki mbili. Siku mukiona mnaweza lipa tutarudi tu maana ujuzi tunao. Ni mitizamo tu no hard feeling broda.
 
Mchapakazi asante sana ! Hata na mimi simtambui mkwere ndo maana nimeandika ni aibu kwa Pallangyo na MUHAS, enzi za MUCHS hakukuwa na ujinga kama huu
 
Zamani sisi tukisoma Mlimani watu wa Muhimbili walituita 'ngwini', jina la utani na dharau likimaanisha watu wanaosoma masomo waliyoyaita 'rahisirahisi' ya novels za Penguin (Actually Penguin walikuwa publishers maarufu wa novel maarufu sana kwa muda mrefu). Wao wakajiona wasomi wa kweli wa masomo 'magumu'. Siku hizi hali imebadilika sana, madaktari wenye degrees zao za ubingwa wanapanga foleni kuomba hizihizi kazi zetu za 'ungwini'. Wengine wamesoma hadi MA za fani tofauti kabisa ili mradi tu wakimbie udaktari wao. Wanaganga njaa! Kwa mtaji huu sioni tofauti kati ya 'udaktari' wa hawa waliokimbilia kwetu kwenye 'ungwini' kuganga njaa, na huo wa JK aliopewa MUHAS maana kati yao hakuna anayemtibu mgonjwa, wote wasanii tu!
Ujumbe umenichoma sana huu kwakweli

Sasa hivi tunagongana na madaktari wanaomba kazi hadi za store management, procurement, wanahangaika na kilimo kwanza, wanasoma BCOM nk

Fani yao wameiacha, lakini wanapenda waendelee kuitwa madokta, hata kama kwa sasa wengine wameamua kuwa mabrokers wa estate na bima

Hongera JK kwa kutusaidia kwamba binadamu wote ni sawa...
 
Kithuku umejifanya kuuwa madaktari hapo juu kuwa wanaingialia kazi za kingwini na kuwa hawana lolote kama zamani. Uliumizwa nini? Let me declare conflict of interest. Mimi ni daktari nafanya kazi ya Kingwini na ninamake milioni 15 kwa mwezi and going up less than ten years tangu nigraduate. Hili ni jasho langu sijala rushwa ya mtu hata shilingi moja and I am proud of what I do.

Wewe kama ngwini unaweza kumtibu hata mgonjwa wa mafua? Hapana huwezi! Mimi naweza kutibu anytime na pia naweza kufanya Ungwini. Wewe unaonaje hiyo multitask?

Acha roho za korosho. Hao madaktari wanaowahudumia Watanzania wanafanya hivyo kwa moyo wa huruma serikali yenu inachojua ni kunua maV8 ilikukomoa watanganyika zaidi na akipata tu mafua anakimbilia Ulaya kwa kodi zenu (hii ni kwa sababu mimi silipi kodi).

Kitu manachotakiwa kujua ni kuwa soko limebadilika. Siku hizi mwajiri sio serikali peke yake, watu ambao ni daring and wenye AKILI kama madaktari wanaweza kufanya chochote wanachotaka. Nasema hivyo kwa vile wakati tunaingia Med School miaka hiyo top cream ya PCB Bongo ilikuwa inatua Muhimbili. Hawa ni watu ambao wakiamua wanafanya lolote including Ungwini na mzagazaga yote. Sasa wakiamua usiwatoe uchawi Mchawi ni Mkwere na serikali yake.

Kuna mfukunyuku mwingine kasema madaktari vilaza wamepasua kichwa badala ya mguu. Medical errors zipo kila mahali duniani. Na daktari mmoja kufanya kosa haina maana madaktari wote ndo wabebe hizo lawama. Mbona sijaona mnatukana maengineer maana majengo yamebomoka au barabara inajengwa huku inabanduka kabla ya mwezi kwisha? Acheni uzandiki.

Degree aliyopewa Mkwere ni yake na Palangyo, wamekubaliana wenyewe mtu na bosi wake sisi haituhusu na kama unataka maoni yangu ningemnyang'anya. By teh way hiyo ni degree ya MUHAS na mimi ni graduate wa MUCHS part ya UD kwa hiyo wala sio chuo changu. Sina vinasaba na PhD feki ya luteni kanali.

Natumaini Kithuku na wenzio mmeelewa. Tutapambana huko huko kwenye faranga maana uwezo, sababu na nia tunayo. Haimake sense kujifanya napasua watu halafu unalipwa hela haitoshi hata mafuta ya gari kwa wiki mbili. Siku mukiona mnaweza lipa tutarudi tu maana ujuzi tunao. Ni mitizamo tu no hard feeling broda.

Pamoja!Wacha ni finalize MBA yangu kwanza hafu nicheki mchongo,kama unalipa nipige chini biashara ya kushikashika stethoscope!
 
HUna haja ya hasira, kithuku has nailed it, ameiweka very sarcastic, yani tunampa degree ya heshima wakati wenye akili wanakimbia fani

Kama wewe unamake 15M kwa mwezi ni wewe na mme/mkeo... hujaulizwa

Interest yetu ni namna ambavyo taifa liliwekeza ili lipate madokta ambao wako highly regarded lakini wamekimbia fani

Hayo ya Pallango na mkwere kupeana degree yana interest hata kwetu kwani ni kodi zetu pia zilichangia yale mahafali, na ukumbuke taifa si mimi na wewe tu, taifa ni wajukuu zetu, na wajukuu zetu si ajabu watashindwa kwenda hata India kutibiwa, labda watakua wanagonga mawe mdaula kwasababu ya "ego" na upupu wetu

Chapakazi ndugu yangu, endelea na unachofanya, lakini jua kwamba ujumbe wa kithuku ni mzito sana na wewe u tone moja tu la maji baharini kama wote tulivyo... ujumbe umedhihirisha ile degree ya JK ni famba na insult kwa waliosoma MUCHS/MUHAS mimi nikiwa mmoja wao
 
Pamoja!Wacha ni finalize MBA yangu kwanza hafu nicheki mchongo,kama unalipa nipige chini biashara ya kushikashika stethoscope!

Hahahaah wengine tulingundua mapema sana hilo! Baada ya Intern tukabadili kazi. Nadhani nimesahau sehemu kubwa ya udaktari
 
Pamoja!Wacha ni finalize MBA yangu kwanza hafu nicheki mchongo,kama unalipa nipige chini biashara ya kushikashika stethoscope!
Hii ndiyo spirit broda

Yaani unakubali kwamba ile degree ya heshima ni famba, haijaleta tija kwa MUHAS wa products zake... Mwaka 2007 niliamua kusoma CFA, professor mmoja pale MUHAS akaua sana ati tunapoteza fani nikamwambia aliyepotea ni yule asiyejua yuko wapi, mimi najua niko wapi... na hapa Tanzania nilipo sekta ya afya ni weak na kiongozi wetu mkuu naye kakubali hilo

Yule professor akasema haya bana...akaenda zake, hadi leo tunawasiliana akiomba consultancies hata kama ni za level ya chini alimradi aweke cha ziada tumboni
 
Mchapakazi asante sana ! Hata na mimi simtambui mkwere ndo maana nimeandika ni aibu kwa Pallangyo na MUHAS, enzi za MUCHS hakukuwa na ujinga kama huu
Mchungaji asante sana kwa hii thread

Kwa ujumla ile degree haikustahili

Mimi na wewe tunamjua vyema Pallangyo na kale ka ugonjwa ka kujipendekeza

Nakumbuka mwaka 1996 tukiwa CPL alisema kwamba condom haizuii ukimwi kwani ina micro-pores zinazotosha kabisa kupitisha wadudu, huyo ndiye professor na alisema kwamba haoni tofauti au value added na condom

Ni mmasai mwenye hulka na gilba ya pekee
 
Kuna mchangiaji hapo juu alisema Pallangyo anajulikana sana na madudu yake! Kwenye Senate amelazimisha sana Mkwere apewe heshima wajumbe kibao walipinga...ila jamaa kwa kujipendekeza ndo mwisho...sijui uproff wa nini kama unakuwa mjinga mjinga
 
Back
Top Bottom